Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Bwashee nakula pombe Tanzania niunganisha na wanaangu wa bongo1๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ wapare nyie ni wanafki sana halafu hamna pesa๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Unafiki hauna kabila mangi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃila ni kweli hatuna pesa wapare, hasa za kuhonga๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Vita ako ngumu sana
 
Duhh hii itaketa shida..
Wala sio uongo kwa hiyo kama Yuko katika mulengo huo ni ngumu kuepuka kutoa utelezi,hao wanalika hata kwa mihogo ya 500 tu ilimradi umemwezesha kuiona siku anakuona wa maana kwanza wao wenyewe wanaamini kwamba ikipita siku hajatongozwa basi ana kimavi(mkosi) na Yuko radhi hata akasafishe nyota huko.
N.b Tanga ndiko mapenzi yaliko zaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ