Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Sawa master
 
Wewe ni bikra ?
Kama sio bikra endelea kugegedana na huyo mzinzi mwenzako
 
Ni heri ukae na hamu ya mapenzi kuliko kuzini kiholela, kuliko kufanya punyeto, kuliko kusagana au njia yeyote ya mkato. Usiingie kwenye mtego wa kusema nafanya mara ya mwisho, punyeto ya mwisho, sex ya mwisho,utajikuta kwenye endless circle ya mara ya mwisho nyingi zisizo na idadi na majuto mengi kila unapojikwaa. Inachukua mwezi mmoja tu kwa binadamu kuchukua tabia mpya, ukijitahidi kukaza mwezi mmoja tu mbele itakuwa rahisi kidogo. Nipo katika hali kama yako, na mimi ni mhanga tu, sio mtu mwenye ujasiri mkubwa au maarifa mengi. Naanguka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…