Namshukuru Mungu nimeweza kusimama mpaka muda huu! Na nina imani nitavuka! Kama pombe nilikuwa nakata mzinga na nimevuka, nina imani hiki hakitanishinda!Ni heri ukae na hamu ya mapenzi kuliko kuzini kiholela, kuliko kufanya punyeto, kuliko kusagana au njia yeyote ya mkato. Usiingie kwenye mtego wa kusema nafanya mara ya mwisho, punyeto ya mwisho, sex ya mwisho,utajikuta kwenye endless circle ya mara ya mwisho nyingi zisizo na idadi na majuto mengi kila unapojikwaa. Inachukua mwezi mmoja tu kwa binadamu kuchukua tabia mpya, ukijitahidi kukaza mwezi mmoja tu mbele itakuwa rahisi kidogo. Nipo katika hali kama yako, na mimi ni mhanga tu, sio mtu mwenye ujasiri mkubwa au maarifa mengi. Naanguka sana.
According to them jamani😀😀, maana inabidi umvutie mtu hisiaProve it
Kiaje?Sio lazima,
Kuzini maana yake umeoa au kuolewa halafu unatembea na asiye mke wako au mume wakoKuzini na kuliwa kihalali Kuna utofauti Gani?
Bila hisia bado hujawa binadamu kamili.According to them jamani😀😀, maana inabidi umvutie mtu hisia
Unamdanganya mwenzio😆😆. Hadi kaomba ushauri ujue upwiru umemkabaSio lazima,
Inaonekana umetumika sasa ewe binti mlokole.Sina na nmechoka uzinifu! Nimeamua kubadilika natafuta vyanzo vya kunirahisishia safari yangu iliyobaki sitaki kurudi nyuma!
umri wako?Asante dada ake
Wewe utakuwa mbovu sana.Kuna hizi dawa za kutoa sumu mwilini aisee zinaenda kutibua mahormone huko .unaweza kubaka mtu
Ila nashukuru mambo ya komboa familia ya mwamposa yananiokoa ningeshakigawa
Shetani shindwa kabisa sitokaa nizini nasema
Kwenda lodge noo
Kulala kwa mwanaume noo
Mwanaume kulala kwangu noo
Kichakani never
Yaani kama hauzini bwana baraka nje nje
Unapata hela na mafanikio Sana yaani
Sitaki zinaa never ever
Katumika sana huyu si ajabu wengi walikua wanamdanganya watamuoa wakishagusa wanapita hivi, sasa kachoka hoi.Wewe ni mstaafu mzinzi na ulokole ni kama tu mstaafu alikua anafanya kazi dar now kaamua kurudi moshi kupumzika
Ki hivyo, mie naamini sio lazima,,,,mambo mengine ni kujiendekeza tu.Kiaje?
Kuzini maana yake umeoa au kuolewa halafu unatembea na asiye mke wako au mume wako
Kuzini maana yake umeoa au kuolewa halafu unatembea na asiye mke wako au mume wako
Lakini kinacho fanyika ukiwa na mkeo ama mmeo ni kile kile unachokifanya na mchepuko, tena unaweza Kuta mchepuko unanogesha zaidi ya huyo mmeo au mkeo... Hiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuzini maana yake umeoa au kuolewa halafu unatembea na asiye mke wako au mume wako
Tendo ni lile lile. Ndo hutakiwi kubadilisha mbogaLakini kinacho fanyika ukiwa na mkeo ama mmeo ni kile kile unachokifanya na mchepuko, tena unaweza Kuta mchepuko unanogesha zaidi ya huyo mmeo au mkeo... Hiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Weye🤣🤣🤣🤣,,Mungu anakuona,,,,,,,ooooohWewe ni mstaafu mzinzi na ulokole ni kama tu mstaafu alikua anafanya kazi dar now kaamua kurudi moshi kupumzika
Mfalme SULEIMANI ALIKUWA NA WANAWAKE WA NDOA 600 NA MASULIA 300.Tendo ni lile lile. Ndo hutakiwi kubadilisha mboga
Ananiona ndio ila anavunga tu kwa sababu nae anajua mikao ambayo mtoa mada alikua anaisusia kama hataki vile 🤔Weye🤣🤣🤣🤣,,Mungu anakuona,,,,,,,oooooh
Afanye mambo mengine,aachane na kuwaza migegedo.Unamdanganya mwenzio😆😆. Hadi kaomba ushauri ujue upwiru umemkaba