Njoo kwenye uislam mkuu, ndiyo dini ya kweli na khaki, huko ulipo unapoteza tu muda wako, mungu hazitambui hizo nyingine.Habari ndugu zangu
Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi
Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?
Asanteni
Asante imeniinua moyo na mimi,Stay Blessed 🙏🏾Warumi 10:1.....
Soma yote ikikupendeza
Mfalme au Rais hana uwezo wote, ujuzi wote wala upendo wote.Mfalme au Rais anapohitaji umnyenyekee aku bless anakuwa dhaifu kuliko wewe raia wa kawaida? Haendelei kuwa juu yako?
Huyo Mungu ameshindwa na Hawezi kuwajalia zawadi ya uhai, ulinzi na afya Maelfu ya watoto wachanga na wanawake wanaoteseka na kufa kwa vita, njaa, magonjwa na majanga mbalimbali ya asili duniani,zawadi ya uhai, ulinzi na afya anayokujalia ni sehemu tu kidogo ya majibu ya maombi na ibada zako kwa Mungu.
Mshukuru Mungu kwa kila Jambo 🐒
Kabla ya maombi ni kujitakasa ""Hakikisha unajitakasa""Habari ndugu zangu
Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi
Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?
Asanteni
Hii hata mimi iliwahi kunikuta,nilipoamua kumgeukia Mungu nilishangaa maposition yananijia double double mpaka nikawa siamini kinachotokea...Uwe na imani uwe mvumilivu.
Kuna mkuu wangu wa kituo cha kazi alikuwa abanibania saba semina na vikao. Ikafika kipindi semina za kwenda mimi anamtuma mwingine jamaa anakula per diem ya siku hadi 20 ilifika kipindi nikatafuta mtu wa kunishauri nifanye nn. Priest moja akaniambia kwenye mahakama za duniani utadhulumika ila sio mahakana za mbinguni, nenda kanshitaki kwa MUNGU. Aisee sifurahii yanayompata ila jamaa anateseka. Na mm semina za vikao kila mwezi. MUNGU anajibu maombi
Ila wewe jamaa 😊 hujanijibu hoja zangu.Huyo Mungu ameshindwa na Hawezi kuwajalia zawadi ya uhai, ulinzi na afya Maelfu ya watoto wachanga na wanawake wanaoteseka na kufa kwa vita, njaa, magonjwa na majanga mbalimbali ya asili duniani,
Halafu unasema huyo Mungu anajalia ulinzi na uhai?
Uhai gani?
Ulinzi gani?
Afya gani?View attachment 3088369
View attachment 3088362
Kwanza kama huyo Mungu yupo ni Mungu mkatili, Muovu na bandidu.
Anastahili kufurushwa, Hafai.
Mungu ana kusudi la Maisha ya kila mwanadamu hapa duniani.Huyo Mungu ameshindwa na Hawezi kuwajalia zawadi ya uhai, ulinzi na afya Maelfu ya watoto wachanga na wanawake wanaoteseka na kufa kwa vita, njaa, magonjwa na majanga mbalimbali ya asili duniani,
Halafu unasema huyo Mungu anajalia ulinzi na uhai?
Uhai gani?
Ulinzi gani?
Afya gani?View attachment 3088369
View attachment 3088362
Kwanza kama huyo Mungu yupo ni Mungu mkatili, Muovu na bandidu.
Anastahili kufurushwa, Hafai.
Huyo Mungu wa Uislamu kama hatambui hizo dini nyingine, Aliziachaje na kwa nini aruhusu ziendelee kuwepo ilhali anajua wazi kwamba dini ya haki ni uislamu tu?Njoo kwenye uislam mkuu, ndiyo dini ya kweli na khaki, huko ulipo unapoteza tu muda wako, mungu hazitambui hizo nyingine.
Naunga mkono hoja ASOMAE NA AFAHAMU 😊Mungu ana kusudi la Maisha ya kila mwanadamu hapa duniani.
Mathalani huenda hata kusudi la Mungu kukuumba wewe ni kulalamika na kukufuru ili wengine tupate kujifunza maumivu makali ya dhambi ya kumkufuru Mungu utakayokua unapitia endapo atakuchapa kiboko unachostahili...
hata hivyo,
hayo yote yasaidie kutufundisha na kutujengea Imani thabiti kwa Mungu, kuepuka uovu na mambo yenye machukuzo mbele zake,
hili hatimae tufurahie sote zawadi ya uhai na afya, lakini Neema na Baraka za Mungu katika vyote alivyovijaza humu duniani 🐒
ukishupaza shingo, upanga ni Juu yako
jiamini kwa Mungu wako, amini Mungu anakusikia, jiwekee imani kwamba yeye ni baba yako na wewe ni mwanae na ndie aliekuumba, tambua kwamba amejaa rehema, hakuna kosa kubwa ambalo litazidi rehema zake kwako hadi asisikie maombi yako, usikumbuke vidhambi vyakk vya mtaani ivo,Habari ndugu zangu
Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi
Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?
Asanteni
Kwanza huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Mungu ana kusudi la Maisha ya kila mwanadamu hapa duniani.
Hakuna Mungu aliyeumba binadamu.Mathalani huenda hata kusudi la Mungu kukuumba wewe ni kulalamika na kukufuru ili wengine tupate kujifunza maumivu makali ya dhambi ya kumkufuru Mungu utakayokua unapitia endapo atakuchapa kiboko unachostahili...
Huyo Mungu kama yupo, Alishindwaje kuumba dunia isiyo na uovu?hata hivyo,
hayo yote yasaidie kutufundisha na kutujengea Imani thabiti kwa Mungu, kuepuka uovu na mambo yenye machukuzo mbele zake,
Maelfu ya watu wanateseka hapa duniani licha ya kusali, kufunga na kumuomba huyo Mungu awasaidie matatizo yao, Lakini nothing happens.hili hatimae tufurahie sote zawadi ya uhai na afya, lakini Neema na Baraka za Mungu katika vyote alivyovijaza humu duniani 🐒
Nakwambia hivi, Huyo Mungu kama yupo ni Mungu Muovu, Katili, Mbaya na Bandidu.ukishupaza shingo, upanga ni Juu yako
Wewe jifunze tofauti ya L na R katika Kiswahili kwanza kabla ya kunitajataja kwenye posts zako.Ila wewe jamaa 😊 hujanijibu hoja zangu.
Afadhali ndugu Kiranga huwa ana kichaka chake Cha kujifichia tuna bishana kwa hoja.
😊Naishia kumwambia siku moja atakuja ku MKILI YESU KRISTO WA NAZARETH KUA NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YETU.
✌️
Hata Muislamu atakwambia wewe, ipo siku utakuja kumkiri Allah kama Mnyaazi Mungu wa Maisha yetu.Ila wewe jamaa 😊 hujanijibu hoja zangu.
Afadhali ndugu Kiranga huwa ana kichaka chake Cha kujifichia tuna bishana kwa hoja.
😊Naishia kumwambia siku moja atakuja ku MKILI YESU KRISTO WA NAZARETH KUA NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YETU.
✌️
Kutodhibiti mambo yalokinyume na mapenzi yetu ni uthibitisho kuna nguvu iliojuu ya uwezo wetu inayothibiti mambo, ambayo watu wa dini wanaiita MUNGU na wasioamini dini wanaiita NATURE.Umeandika kuonesha mapungufu ya kimantiki, logical fallacy. Logical fallacy hii inaitwa non sequitur.
Mimi kutojua nini kitatokea saa moja ijayo si uthibitisho kwamba Mungu yupo.
Ni uthibitisho kwamba sijui kitakachotokea saa moja lijalo.
Mimi kutoweza kuzuia mambo yaliyo kinyume na mapenzi yangu si uthibitisho Mungu yupo, ni uthibitisho kuwa siwezi kuzuia yaliyo kinyume na mapenzi yangu tu.
Kwa nini unafikiri kuna kimoja kinachodhibiti mambo nje ya uwezo wetu? Unajuaje kuna kimoja tu?
Nimependa ilo neno bumpkin lilivyo tumika (boga)Wewe jifunze tofauti ya L na R katika Kiswahili kwanza kabla ya kunitajataja kwenye posts zako.
Utabishana na mimi hoja wakati hata Kiswahili hujui?
What are you trying to prove? That you are a country bumpkin?
Unajuaje kuna nguvu moja na si nyingi tofauti?Kutodhibiti mambo yalokinyume na mapenzi yetu ni uthibitisho kuna nguvu iliojuu ya uwezo wetu inayothibiti mambo, ambayo watu wa dini wanaiita MUNGU na wasioamini dini wanaiita NATURE.
SawaHata Muislamu atakwambia wewe, ipo siku utakuja kumkiri Allah kama Mnyaazi Mungu wa Maisha yetu.
Ulicho kifanya hapa ni kutetea imani yako ya huyo Yesu Kristo.
Kitu ambacho hata mtu wa imani nyingine atafanya hivyo hivyo.
Huyo Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Bumpkin si boga, pumpkin ndiyo boga.Nimependa ilo neno bumpkin lilivyo tumika (boga)
Asante
Bumpkin siyo boga aisee, dah ama kweli wewe ni Country bumpkinNimependa ilo neno bumpkin lilivyo tumika (boga)
Asante