Wenzangu mnaombaje mpaka maombi yenu yanajibiwa?

Kwanza kabisa hakikisha Moyo uko Safi unakuwa mweupeeee pee human kinyongo,hasira,uchungu,maumivu ,wivu mawazo mabaya....Then omba utakaso wa damu YA Yesu ikusafishe Na kukuondolea uovu omba Toba Na Rehema..Then Imani omba Kwa imanii pasipo Imani huwez pokea chochote usiwe Na Shaka Wala maswali unavoomba.....mwisho kabisa taja Jina la Yesu Kwa chochote unachoombaa taja litaje Jina la Yesu mara nyingi..
 
Yesu alifundisha mkitaka kuomba msali sala ya baba yetu uliye mbinguni,

Sali baba yetu mara 7 then omba na amini imekuwa.

Jitahidi asubuhi na jioni bila kuchoka, lakini unapoomba cha kwanza unapaswa kushukuru kwa maana kuamka hai ni zawadi kubwa kuliko hayo unayoyaomba.

Na usisahau kuomba kwa jina la Yesu ndiye aliyekabidhiwa mamlaka.

Yani kama unavyomuona Mo Dewji ndio tajiri lakini baba yake mzazi ndio mwenye mali mzee Ghullum Dewji yupo hai lakini wenye njaa wote show zote anamaliza Mo Dewji ndio ameachiwa mamlaka ya Metl.

Nimetumia lugha rahisi uelewe maana kuna watu mpaka leo wanachanyikiwa hawajui Yesu ni nani, Yesu siyo Mungu lakini mamlaka yote amekabidhiwa yeye, unapomuomba Mungu kwa jina la Yesu utakuja kutowa ushuhuda hapa maombi yako yatajibiwa lakini si vile utakavyo wewe.
 
Son of the devil Wacha kuwapotosha watu Na upigwe Kwa Jina la Yesu
 
Nilichogundua kumbe JF Kuna wapinga Kristo pia...acheni kupotosha watu wa Mungu enyi wapinga Kristo mkiendelea hivi hukumu ya moto itawapata milele liogopeni Jina la Bwana.
 
Kwamba unaomba upone wakati huendi hospital?

Waomba upate pesa na kazi hufanyi?

Waomba biashara ikue wakati husaidii ukuaji wa hiyo biashara?

Waombea familia yako iwe bora wakati haujishughulishi katika ubora?

Waombea Amani wakati hautengenezi Amani?

Wataka ufaulu wakati hausomi
 
Nilichogundua kumbe JF Kuna wapinga Kristo pia...acheni kupotosha watu wa Mungu enyi wapinga Kristo mkiendelea hivi hukumu ya moto itawapata milele liogopeni Jina la Bwana.
Labda watakusikia Mimi mpaka wameanza kukosoa uandishi wangu eti sijui matumizi ya R na L

Mpaka naambiwa kua Mimi ni country bumpkin (yokel) πŸ˜‚

Wabishi hao balaa wa na tumia nguvu kubwa

All in all,
Wamevurugukiwa MAONO. HATA SAULI ALIKUJA KUA MTUME PAULO. NANI ALIKUA NA MOYO MGUMU KAMA FARAO (FILAUNI) ni Jambo la muda TU kila goti litapigwa.
 
Ukweli wanaujua Sana sema shetani ametawala mioyo Yao ,wanadanganya watu Na kupotosha watu kuwa hakuna Mungu wanajua Sana kama Mungu yupo Ila wanadanganya watu....
 
Ukweli wanaujua Sana sema shetani ametawala mioyo Yao ,wanadanganya watu Na kupotosha watu kuwa hakuna Mungu wanajua Sana kama Mungu yupo Ila wanadanganya watu....
Wanajibraza sugarcane. Siku wakiwa kwenye magumu na wakahitaji msaada wa MUNGU huyu wanae mfanyia dhihaka hapa JF. Mungu ni mwema Sana na ni mwingi wa neema na rehema.
 
πŸ‘πŸ‘
 
Wanajibraza sugarcane. Siku wakiwa kwenye magumu na wakahitaji msaada wa MUNGU huyu wanae mfanyia dhihaka hapa JF. Mungu ni mwema Sana na ni mwingi wa neema na rehema.
Mungu gani mwema, mwingi wa neema na rehema, Anashindwa na hawezi kuwasaidia maelfu ya watoto na wakina mama wanaokufa kwa njaa, vita, magonjwa na majanga mbalimbali ya asili duniani??

M-Pox inapiga watoto huko Congo na huyo Mungu hawezi na Kashindwa kuwasaidia.

Halafu mnakuja hapa JF kuhubiri sifa uchwara za huyo Mungu ambaye kiuhalisia hayupo kusaidia chochote kile au mtu yeyote yule.

Huyo Mungu kama yupo aanze kwanza kuwasaidia hawa wakina mama.

Kisha ndio nitajua ana uwezo wa kunisaidia mimi.

Otherwise, Huyo Mungu kama yupo ni Mungu Muovu, Katili, Mbaya na Bandidu.

Huyo Mungu Hafai, Na anapaswa kufurushwa..
 
Bandiko zuri sana.Watu wengi wamekuwa wakitafuta sababu ni nini sababu za kutofunguliwa kuomba wanaomba lakin hawaoni mafanikio.kwa uelewa wangu iko hivi.
- Kumtafuta Mungu hilo liwe ndio lengo kuu katika maisha yako yote,awe amekupa au ajakupa ,awe amekubariki au hajakubariki lazima umwabudu Mungu.
-Uwe na utaratibu kuvunja roho za giza,imeandikwa,Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama bali juu ya giza hili juu ya jeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.EFESO 6:11-14.Narudia tena mstari huu kipande hiki una maana sana katika ulimwengu wa roho.hapo sasa ndipo penye tatizo kuna vitu vilivyo juu yako katika ulimwengu wa roho.
- Cha kufanya sasa kila siku uwe na ratiba ya kufunja roho wabaya,maangano katika koo yako.Utaona unafunguliwa mpendwa Mungu ni wa wote kwanini usifunguliwe.Kwa jina la yesu Mungu akupe ufahamu huu utaona maajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…