Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Nakazia hapaAnzisha ukoo wako. Yaani jihesabu wewe na mke wako kama ndio unaanza ukoo mpya, usijiassociate na mambo ya kiukoo yasiyo na maana.
Tengeneza value na system yako mpya warithishe na watoto
Ni kwel mkuuNimeshindwa kuelewa kipi ni kipi baada ya kupitia komenti maana ..
Kuna mtu anasema familia ilipambana kwa umoja wote wakafika chuo so kufika chuo ndiyo utajiri ?
Mwingine mara tulisoma mpaka chuo na sasa wote tumeajiliwa so kuajiliwa ni utajiri?
Mwingine mara unakuta mtoto mkubwa kamaliza chuo kakosa ajira na waliomfuata wote wamekosa ajira kama yeye so kumbe wangepata ajira ndiyo utajiri wenyewe ?
Guys ni kweli kuwa mafanikio ya mtu yanategemea sana familiy background japo sio kwa asilimia zote .
Ila natamani tujue ni nini maana ya utajiri sio hizi bla bla za mtu kuajiliwa mara kusoma mpaka chuo kikuu sababu hapo mtaani kwako na kijijini kwenu ni wangapi wana ajira nzuri ila kujenga na kufanya makubwa wanategemea mikopo ?
Je hauishi na waajiliwa wenye hali tete kuanzia maisha mpaka family background zao ?
Come on friends, utajiri tunaosema ni ule uwe na uwezo wa kula , kuishi , kuitunza familia yako na ukoo ila uwe na miradi yenye ustahimilivu imara pasipo kuwa juu ya presha za hiki kikiharibika kesho nitaishije.
Haitoshi ni lazima nikuelezeni kuwa kuajiriwa na kusoma mpaka chuo kikuu hakutufanyi tukuite tajiri ila wewe ni kapuku kama makapuku wengine ikiwa ni mtu wa kusubiri tarehe 23/24 ili mipango yako ikae sawa .
Rai yangu ni kwa vijana wakati ni sasa na muda ni sasa tunaweza kusimama na kuzipambania ndoto zetu bila kujali familia zetu au koo zetu zimetufelisha vipi kikubwa believe in God start hustling until you fulfil your dreams muda ni sasa guys.
Asikudanganye mtu eti kuwa na ajira ni utajiri nop ni njia tu ikiwa una akili ila kama una ni kuongeza mawazi na kusubiri kifo .
Asanteni .
Mkuu hata ukitoboa bila mipango usipo weka mikakati mizuri baada ya mdaa kidogo unarudi kule kule, c unaona watumishi wengi walio toka familia za kimasikini wa kisitaafu tu wanarudi kule kijijini waliko tokea kabla ya kua watumishi, kuondokana na umasikini lazime uweke mikakati mipya.Kwa mfumo wa maisha yetu Afrika bila kuwa kauzu hauwezi kutoboa.
Kwa katiba yetu ya bongo mtoto wa rais kuwa raisi ni swala la muda tuMkuu kama mtoto anaweza kurithi kipaji cha mzazi inashindikanaje kurithi umaskini? Haishangazi mtoto wa footballer kuwa footballer, mtoto wa Rais kuwa Rais, mtoto wa mfanyabiashara kuwa mfanyabiashara nk. Hata mtoto wa maskini kuwa maskini inawezekana sana kama hatua za makusudi zisipochukuliwa kwa sababu hata mtoto wa Rais kuwa Rais huwa lazima jitihada ziwepo pia. Kipaji tu hakisaidii.
Kunakuwa na matatizo ya kiroho yani, kwa ambao wazazi hawakuwa na mawazo na dunia kuwa kuna watu wa hovyo wanaweza kuharibu future ya familia ndio hivyo tena mnaweza kuporomoka kutoka A class family to F Class...Yaani kuna ukoo mwengine kazi ni mitihani. Mtu anamaliza chuo vizuri tu ila kwenye kupata kazi ni dana dana. Inaanza kwa mkubwa hadi mdogo. Sijui shida huwa ni nini
Sasa utasaidia mzazi tu wakati unakuta hapo kwenu ndugu yako single maza kajaza wajukuu kibao hapo hana future Ofcourse mama atakua anashare kile unatoa wanatumiaIshi Maisha yako wengine wametomba katika Gundu mfano Mimi Jamaa yangu mmoja ametomba wanawake wachafu mpaka leo kapewa gundu Hana future kila kitu kwako kizito
Umasikini ndugu yake ni Uzinzi so usisaidie Mtu tofauti na wazazi tu
Jamii zipi hizo. Yani sahizi kilichobakia ni kubebana wewe na ndugu zako wa damu tu. Bila hivyo kubeba ukoo utaishia hadi kurogwa.Shida kubwa ni "mentality" ndo sababu kubwa ya umasikini.
Kama hujui unachofanya hata ukipewa mtaji utazingua tu.
Ila jamii nyingi wanabebana, mmoja akifanikiwa anawabeba wenzake.
Serikali izuie watu kuzaa si upumbavu. Imeshindwa kuendesha nchi vizuri ndio maana hadi leo watu ni masikini. Ianze kuacha ufisadi kwanza na ijikite kutengeneza mazingira wezeshi.Serikali nayo ndiyo inalea umasikini.
Serikali yapaswa kuweka msimamo kila mtu awajibike, wasiowajibika wafe.
Ikifanyika hivyo lazima watu wataacha zaa hovyo.
Kwa sasa mtu anazaa hovyo sababu ana uhakika serikali itamsomeshea bure,
Ni sawa ni wajibu wa serikali ku plan na kutoa huduma muhimu kwa raia wake, kwasbb hizo huduma tunazitolea kodi tunazilipia, ila viongozi wetu ni wa binafsi wezi wala rushwa, otherwise Tazania is underpopulated hatuna soko la ndani la kutosha, wakati aridhi na rasilimali nyingi tunazo za kutosha kuzidi ifadi ya watu, imagine kigeographia Tz inaizidi Nigeria kdgo nigeria ina watu 220m Tz in 60m, Ethiopia ina 120m Egypt 80m Congo 85m. Uganda ni ndogo maratatu ya Tz ila ina watu karibia 50m Kenya 55m. Wakati hizo nchi tunazizidi resources, tatzo la Tanzania ni viongozi wake hawana maonoSerikali nayo ndiyo inalea umasikini.
Serikali yapaswa kuweka msimamo kila mtu awajibike, wasiowajibika wafe.
Ikifanyika hivyo lazima watu wataacha zaa hovyo.
Kwa sasa mtu anazaa hovyo sababu ana uhakika serikali itamsomeshea bure,
Matatizo ya kijenetic: jua kwamba kila trait au tabia za msingi walizonazo viumbe hai zinarithiwa kizazi hadi kizazi. Kuna familia zimerithi tatizo fulani labda ni uwezo mdogo wa kujifunza na kutenda. Kinasaba hiki chaweza kutiririka kwenye vizazi vingi vijavyo na kuufanya ukoo mzima kuonekana usio na watu wenye mafanikio.Umeongea machache lakini mazito. Ikikupendeza elezea kwa undani zaidi.
Kama mzazi hana uwezo akishindwa kumsomesha mtoto sasa si ndio anaanza kurithi umaskini.Mkuu umasikini sio kipaji ni hari. Hari hairithishwi, ila kazi na mari zina rithishwa, ndo maana ni rahisi mtoto wa raisi kua Raisi au mtoto wamkulima kua mkulima pia. Ila hayo yote yana changiwa na Elimu na juhudi binafsi ya mtu uhusika, hata kama baba ni Raisi lakini mtoto hana elimu sio rahisi yeye kua rahisi