Hoja nzito Sana hii, umaskini wa kipato unachangiwa pia na sera za kiuchumi na hali ya kiuchumi ya nchi husika.Ulaya kuna umasikini mkubwa sana ila viwango hutofautiana na uko kwetu, kwao Serikali inatoa dole money kila mwezi kwa wale masikini kupata basic kama chakula na nguo, uku kwetu tuna umasikini wa kipato na wa akili ya viongozi wetu, hamna watu wenye roho ya kimasikini kama viongozi wa Africa.
Kuna watu hata darasa la saba hawakuhitimu, ila wameweza kutoboa maisha. Shule sio kigezo peke cha kuondokana na umasikini, pia natural brightness naenyewe ina changia, Musukuma asingekua mbuge kama shule ndo kugezo peke.Kama mzazi hana uwezo akishindwa kumsomesha mtoto sasa si ndio anaanza kurithi umaskini.
. Wazazi wanafanyaga vitu kwa manufaa yao na starehe zao ila yanakuja kuharibu maisha ya vizazi hata vitatu mbeleKunakuwa na matatizo ya kiroho yani, kwa ambao wazazi hawakuwa na mawazo na dunia kuwa kuna watu wa hovyo wanaweza kuharibu future ya familia ndio hivyo tena mnaweza kuporomoka kutoka A class family to F Class...
Laiti mzee angejua mapema kuwa dunia haiko jinsi anavyofikiri maybe familia isingeparanganyika tukarudi kwa ground!
Watoto ndio tuna suffer kwa kufidia uzembe ule.
Nicious! Nisaidie darasa la kimalkia. Or did you mean vicious, nimious?Mpaka nimekumbuka mambo ya development studies, Nicious circle of poverty.
Serikali inachoweza fanya ni kuwekeza kwenye huduma za kijamii na miundombinu.Serikali izuie watu kuzaa si upumbavu. Imeshindwa kuendesha nchi vizuri ndio maana hadi leo watu ni masikini. Ianze kuacha ufisadi kwanza na ijikite kutengeneza mazingira wezeshi.
Kwani Libya Gadafi aliwezaje? Hatuna viongozi wenye akili bali makundi ya fisi waliojaa tamaa na ubinafsi.Serikali inachoweza fanya ni kuwekeza kwenye huduma za kijamii na miundombinu.
Huko kwingine tukiisubiria serikali utajikuta unailaumu milele
Hili nalo pia ni tatizo katika familia nyingi,
Unakuta mtu mmoja kafanikiwa kwenye maisha katika familia yao,na anaona ufahari sana pale ndugu wanapokuja kumlilia shida nae huwasaidia,na anatamani maisha yawe hivyo hivyo,yaani anatamani miaka yote wenzake wawe chini yake tu ili waendelee kumlilia shida,hujiona ni kama mfalme fulani hivi,sasa mtu kama huyu akianguka ghafla kiuchumi,familia/Ukoo wote wanapata tabu,
Unapobarikiwa,jaribu kuwainua na wengine hasa watu wako wa karibu,ili kama mmoja wenu ataanguka kiuchumi basi wawepo na wengine ambao watamuinua na mwenzao tena,hili linafanyika sana kwa baadhi ya jamii za Waarabu na Wahindi,
Kitu muhimu ndani ya Koo ni lazima kuwe na upendo,kuheshimiana,kuaminiana....na hizi good discipline and attitude haziji ghafla au kimiujiza,hujengwa katika malezi tangu utotoni.
Na hakuna serikali inayoweza kukutatulia tatizo asilimia zote. Na ndo maana as long as unaishi katika hii dunia..wewe ulistruggle tangia unatungwa. Kulikua na sperms kadhaa na sperm iliyoshinda ndo wewe ukatungwa. Ukakaa miezi tisa ukatoka ukiwa hai. Umepita kote mpaka leo uko hai. You are naturally a winner..so ni jukumu lako kuswim and fight mpaka mimba zitungwe kwenye uchumi, ndoa, maendeleo, ukoo na mafanikio yazaliwe kote huko.Serikali inachoweza fanya ni kuwekeza kwenye huduma za kijamii na miundombinu.
Huko kwingine tukiisubiria serikali utajikuta unailaumu milele
Tatizo ni siasa, watu hawataki lipa kodi sababu hazijulikani zaenda fanya niniKwani Libya Gadafi aliwezaje? Hatuna viongozi wenye akili bali makundi ya fisi waliojaa tamaa na ubinafsi.
Kuna uwezekano taifa lika focus na rasilimali na kuzipeleka panapohitajika ulimwenguni na maisha yakabadilika completely.
Kwani marekani graduate ni boda boda? Ni uvivu wa wenye wadhifa kufanya majukumu yao.
Watafute masoko ya bidhaa za kilimo, we have plenty of arable land. Unakuta soko la bidhaa flani analishikilia waziri kimya kimya na ana export mzigo kwa kampuni yake. Humu humu Africa masoko yapo ila unakuta waziri anataka amonopolize soko anauza yeye pekeyake nyie wengine mlanguane kwa madalali temeke, buguruni, manzese
Nyie wengine hizo process za ku export mzigo vibali vyake tu kupata unaacha na shughuli yenyewe.
Maana yake Single Madhazi ndo tatizo ?Inategemea na familia pia walivyolelewa pamoja kuna familia kila mtoto kalelewa tofauti kunakuwa hakuna bond
Upo sahihi kabisa, suala la kurithi lipo both side, good and bad things are inheritedMkuu kama mtoto anaweza kurithi kipaji cha mzazi inashindikanaje kurithi umaskini? Haishangazi mtoto wa footballer kuwa footballer, mtoto wa Rais kuwa Rais, mtoto wa mfanyabiashara kuwa mfanyabiashara nk. Hata mtoto wa maskini kuwa maskini inawezekana sana kama hatua za makusudi zisipochukuliwa kwa sababu hata mtoto wa Rais kuwa Rais huwa lazima jitihada ziwepo pia. Kipaji tu hakisaidii.
Lakini bro huwa pia hawawekwi tu. Wanarithi vipaji vya wazazi. Jakaya ana watoto wengi ila hadi sasa anayefuata nyayo zake ni mmoja tu RidhiwaniKwa katiba yetu ya bongo mtoto wa rais kuwa raisi ni swala la muda tu
Sure ilo swala liko kwenye geneticsLakini bro huwa pia hawawekwi tu. Wanarithi vipaji vya wazazi. Jakaya ana watoto wengi ila hadi sasa anayefuata nyayo zake ni mmoja tu Ridhiwani
Baba yangu ni wa Kwanza kwao na alifika form 6.... Akapata kazi wakati wa MWINYI
Mimi wa Kwanza kwa Baba yangu nikafika chuo....Sijapata kazi mpk sasa.
Ila MIZIMU ya ukoo imeniambia nikitaka kutoboa nisifanye kazi wala kuajiriwa wamenipa UGANGA wao watanipa UTAJIRI kupitia watu.
KOO zetu zina Siri kubwa sana
Genetics ni biological pesa au utajiri ni physical hivi vitu viwili haviingiliani, labda uunganishe na uchawi.........huwezi kuchunguza genetics za umasikini kwenye biological laboratorySure ilo swala liko kwenye genetics
Hahahah nimezungumzia swala la Ridhiwani kurithi falsafa za baba yake. Hio ni genetically mtu anatoka nazo kwa mzazi.Genetics ni biological pesa au utajiri ni physical hivi vitu viwili haviingiliani, labda uunganishe na uchawi.........huwezi kuchunguza genetics za umasikini kwenye biological laboratory
Single father’s je ?Maana yake Single Madhazi ndo tatizo ?