LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu huyu DeepPond yuko luhansk sasa hivi akmpigania Putin?Kila uamuzi una gharama zake. Gharama za kutotuma nauli ni kubwa maradufu ya gharama za kutuma nauli
Wakati wewe ukisema hutumi nauli, akina DeepPond wanatuma nauli ya laki umbali wa nauli ya buku tena na ya kutolea juu.
# ukiona jamaa anaenjoy na demu mkali, jua katuma nauli na ya kutolea..
Siku mkikamatwa mnalipishwa kwa hardcore stylesNa tunaokula nauli inakuaje 😅😅
Mkaldawise. Hujaenda front?Huyu huyu DeepPond yuko luhansk sasa hivi akmpigania Putin?
Na tunaokula nauli inakuaje 😅😅
Aisee[emoji23]Unakula nauli kwa sababu hujatumiwa " nauli" . Nauli is a code name
Mimi ukiniomba nauli, umbali wa mia tano nakutumia laki na 28 utoe laki na ishirini kamili, ili upite na saluni kabisa. Halafu nikisha kutumia sikuulizii kama umeipata wala nini. Nakuulizia ili iweje wakati umeshaniambia jina lako na mpesa au tigopesa wameonyesha hela imekuja kwako.
Wala siku ulizi ulizi unakuja saa ngapi. Na usipo kuja wala sikutafuti.
Next time lazima utanitafuta tu this time utakuja ukiwa more serious kwa lengo la kunishawishi kwa vitendo ili niwe nakupa zaidi ya nauli
Ukiona vp unamnunulia ki ist ili usipoteze hela kila mara, pga hesabu kwa mwaka unamtumi hiyo 128k ukiimake jeee
YeahNdio hivyo ati
Mkuu napenda kuishiMkaldawise. Hujaenda front?
Hamikisha udondokie kwenye mikono ya mtuma nauli maishani mwako....utapelekewa de libolo mpaka mbususu itoke moshiNa tunaokula nauli inakuaje 😅😅
Aisee....lakini kwani nikikufuata na bodaboda kuna shida gani[emoji16] kweli kabisa. Waache wabaki na pesa zao.. waendelee kula nyasi.
Inatakiwa mliwe mtungoNa tunaokula nauli inakuaje 😅😅