Wewe kama mwanaume Unaweza kuvumilia?

Ukiona mtu anakuzungusha sana ujue 'hana'.
 
ChatgptπŸ₯Ά
 
Kumbe unahangaika na mtoto mwenzako haya endelea
 
Unayoyasema yangelikuwa na uhalisia au kuwa na mashiko, mambo yafuatayo yasingelitendwa na binadamu kwa makusudi ama kwa bahati mbaya:
1-kushika ugoni na kuua.
2-kufumania na kusamehe.
3-kufukuza na kurejesha
4-kukataliwa na kupelekea kujiua.
5-kubembelezana kwa machozi.
6-kuishi pa1 hadi kuzeeshana nk nk.

Kukosa akili na kuwa mpumbaf kwa ajili ya kusorolea penzi la mtu mmoja siyo ujinga, ni nature inataka na kulazimisha hivyo.

Wanaojigamba kuwa wao hawajali na hawawezi kutawaliwa, ndiyo hao ambao hufanyishwa kazi hadi za aibu na wapenzi wao ili kupalilia penzi.

Ni dhaifu sana hao kwa sababu hayo wanayoyaona mepesi huwa hawajapata wanayeendana maana hawawezi kuishinda asili.

Wakimpata wampendaye kwa dhati ya moyo wao hugeuka na kula matapishi yao wenyewe.
 
Nimewekeza pesa nyingi kuna muda nampa mpaka akiba yangu ila haoni kama nampenda nimechoka nifanyeje
eBwana nimetamani kucheka haya maisha yapo tofauti sana, hivi unajua kuna wanawake wanafukuzia wanaume? Wewe hujawahi kufukuziwa na mwanamke tangu uzaliwe? Umebaki wewe ndio unafukuzia mwanamke? Jibu lake huyo ni kwamba wewe sio type yake upo out of her league ila sababu ya coin zako ndio anajiweka ili azidi kukutafuna, nazungumzia experience
 
πŸ‘πŸ», nakubaliana na wewe Chief. Hoja yangu ni kwa namna gani huyu msichana anashindwa kumwambia huyo jamaa kama amemkubali au amemkata ! Hapo inadhihirisha huyo msichana hajavutiwa na huyo jamaa na yupo kwake kama parasite. Kwa lugha nyepesi jamaa analazimisha penzi na penzi la kulazimisha huwa linakosa chemistry matokeo yake kutalikiana nje nje!
Ausikilize moyo wake lakini. Tukumbuke Mapenzi ni hisia, sasa kama mtu hana hisia na wewe je ikifika muda wa kulala pamoja si utapangiwa hadi ratiba ya kuloweka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…