Wewe kama mwanaume Unaweza kuvumilia?

Wewe kama mwanaume Unaweza kuvumilia?

Kwa leo naomba nisiongee chochote
Hellow

Nilimuonaga mdada mmoja huko kwenye mahangaiko kwenye kasemina fulani ila tupo nae sehemu ila sasa ni mgumu balaa yapata mwaka sasa tangu numtongeze ila jibu sipewe nazungushwa na nina mpenda sana kibaya zaidi anataka mimi nisolve changamoto zake ila mimi jibu hanipi kabisa

Nimewekeza pesa nyingi kuna muda nampa mpaka akiba yangu ila haoni kama nampenda nimechoka nifanyeje

Nilimfwata baada ya kusikia washikaji kuwa wanamsema ni mgumu sana so na mimi nikazama kimya kimya ila sasa moyo unanipelekesha na mpenda sana ila jibu hanipi

Nifanyeje ushauri wenu mwenzenu nimekamatika kwa huyu bidada kitoto cha 2000
Unataka akuambiaje kuwa hakutaki

mpaka akuambie kuwa akutaki live?
 
Hahahahahaha Fala kweli wewe .

Hiyo K yake Kuna muhuni anaichakaza daily.

Pesa unayomtumia ndio nayeye huitumia kama Nauli kumpelekea muhimu wake papuchi
 
Hellow

Nilimuonaga mdada mmoja huko kwenye mahangaiko kwenye kasemina fulani ila tupo nae sehemu ila sasa ni mgumu balaa yapata mwaka sasa tangu numtongeze ila jibu sipewe nazungushwa na nina mpenda sana kibaya zaidi anataka mimi nisolve changamoto zake ila mimi jibu hanipi kabisa

Nimewekeza pesa nyingi kuna muda nampa mpaka akiba yangu ila haoni kama nampenda nimechoka nifanyeje

Nilimfwata baada ya kusikia washikaji kuwa wanamsema ni mgumu sana so na mimi nikazama kimya kimya ila sasa moyo unanipelekesha na mpenda sana ila jibu hanipi

Nifanyeje ushauri wenu mwenzenu nimekamatika kwa huyu bidada kitoto cha 2000
Mtenge kabisa atajileta mwenyewe
 
Kimya nalo ni jibu
 
Unataka akuambiaje kuwa hakutaki

mpaka akuambie kuwa akutaki live?
1741199543222.png
 
Back
Top Bottom