Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Unavyoona ananjaaKitu ambacho nahisi kinawaangusha wasanii wengi hasa wanaoingia kwenye bongo flava kwa sasa ni kumuiga Diamond kuanzia kuongea, mtindo wa mavazi, kutembea na kila kitu.
Ukimuangalia Marioo kwa haraka ni Diamond huyu hapa, hata baadhi ya ladha katika nyimbo zake ni Chibu mtupu.
Hili suala hata P Funk nadhani alilizungumzia kwa hawa vijana kutaka kuishi maisha ya Diamond ilhali maisha yao hakuna wa kiyaishi.
Kwani shida ni njaa mkuu?Unavyoona ananjaa
We utakua hujielewi marioo kaiga maisha Gani ya diamond naona kama umedataKwani shida ni njaa mkuu?
Anajua Top notch king kapotezwaSema.kuna nyingne anaziotea aisee
Mfano ile na bien,nairobi, pini.
Upo sahihi kbsa mkuuLabda upo sahihi....
Sisikilizi wasanii waliotoboa tu. Nasikiliza wimbo wowote mzuri.
Ila Mario hapana. Jux anaandika saana moja ya favorite songs zangu ni alofanya na John na Nyanshiski. Na zote kafunikwa.
Anatumia nguvu saana kuimba....nitakupatia mfano mwingine mdogo stamina anaandika nyimbo nzuri saana....ila huwa anatumia nguvu nyingi kutoa sauti kwenye kufoka kwake . Kuna wasanii wengi tu wanatatizo hili. Hata mbele pia misanii kibao unajua wanajua kuandika lakini sauti inawanyima kuwa almost perfect. Wasikilize watu kama Harmonize au Kanye West wanaimba smooth and soothing.....
Kuna wasanii wanajuhudi na kazi zao tu na wamefanikiwa kuliteka soko kwasababu ya juhudi.
Alikua na idea kali kali sana enzi hizo, nae kawa kama Young killer. Enzi zao za ujana walikua vizuri kwenye uandishi na idea mpya mpya hata usizozitegemea.Rayvanny kapotea vibaya sana kwa uandishi wake
Nafikiri pesa na starehe wanazofanya huwa zinawapelekea kuwa dhaifu hasa kwenye mawazo mapyaAlikua na idea kali kali sana enzi hizo, nae kawa kama Young killer. Enzi zao za ujana walikua vizuri kwenye uandishi na idea mpya mpya hata usizozitegemea.
Ila sasa hivi hamna kitu kabisa, huenda pesa zinalevya na kutia uvivu wa kuwaza mambo mapya mazuri kwa shabiki zao.
No sio rayvanny ni kajamaa kadogo himselfWewe kajamaa kadogo mbona hii avatar yako inamfanana Rayvanny
Hata Mimi Huwa simuelewi kabsaa ila mkuu una sikio la muziki Kama Mimi 98% ya nyimbo nazosikiliza ni za mbeleHivi Mario anaimbaga nini? Kama kashirikishwa huwa nakimbiza wimbo mbele.
msanii marioo kuna kundi la watu huwa anawaimbia sio msanii mbaya ila huwezi kumuweka na mbosso kilungiHata Mimi Huwa simuelewi kabsaa ila mkuu una sikio la muziki Kama Mimi 98% ya nyimbo nazosikiliza ni za mbele