Wewe Mbosso haya mambo yako ndiyo yalisababisha bwana Marioo alifuta verse zako kwenye nyimbo zake mbili

Kitu ambacho nahisi kinawaangusha wasanii wengi hasa wanaoingia kwenye bongo flava kwa sasa ni kumuiga Diamond kuanzia kuongea, mtindo wa mavazi, kutembea na kila kitu.
Ukimuangalia Marioo kwa haraka ni Diamond huyu hapa, hata baadhi ya ladha katika nyimbo zake ni Chibu mtupu.
Hili suala hata P Funk nadhani alilizungumzia kwa hawa vijana kutaka kuishi maisha ya Diamond ilhali maisha yao hakuna wa kiyaishi.
Unavyoona ananjaa
 
Marioo kibongobongo anakimbiza game na kufanya vizuri. Mapungufu yake huwa yanaonekana akifanya collabo na msanii anaeongea kiingereza. Nyimbo inakua mbaya na inakosa chemistry kabisa

Ukisikiliz hizi ngoma utajua namaanisha nini
marioo ft ladipoe
Marioo ft patoranking
yaan hata kiingereza cha kuibia chenga

Rayvanny ana potential kubwa. Uwezo wa nini anaweza kufanya kamsikie verse zake kwenye

Ravanny ft Rowlene. Ngoma ya baby na girlfriend

Rayvanny ft aby chams Far
 
Labda upo sahihi....
Sisikilizi wasanii waliotoboa tu. Nasikiliza wimbo wowote mzuri.

Ila Mario hapana. Jux anaandika saana moja ya favorite songs zangu ni alofanya na John na Nyanshiski. Na zote kafunikwa.

Anatumia nguvu saana kuimba....nitakupatia mfano mwingine mdogo stamina anaandika nyimbo nzuri saana....ila huwa anatumia nguvu nyingi kutoa sauti kwenye kufoka kwake . Kuna wasanii wengi tu wanatatizo hili. Hata mbele pia misanii kibao unajua wanajua kuandika lakini sauti inawanyima kuwa almost perfect. Wasikilize watu kama Harmonize au Kanye West wanaimba smooth and soothing.....

Kuna wasanii wanajuhudi na kazi zao tu na wamefanikiwa kuliteka soko kwasababu ya juhudi.
Upo sahihi kbsa mkuu
 
kwamba marioo hajui hahaha
sema wewe ndo hujui nyimbo nzuri

marioo na mboso naenda na marioo
 
Rayvanny kapotea vibaya sana kwa uandishi wake
Alikua na idea kali kali sana enzi hizo, nae kawa kama Young killer. Enzi zao za ujana walikua vizuri kwenye uandishi na idea mpya mpya hata usizozitegemea.

Ila sasa hivi hamna kitu kabisa, huenda pesa zinalevya na kutia uvivu wa kuwaza mambo mapya mazuri kwa shabiki zao.
 
Nafikiri pesa na starehe wanazofanya huwa zinawapelekea kuwa dhaifu hasa kwenye mawazo mapya
 
Hivi Mario anaimbaga nini? Kama kashirikishwa huwa nakimbiza wimbo mbele.
Hata Mimi Huwa simuelewi kabsaa ila mkuu una sikio la muziki Kama Mimi 98% ya nyimbo nazosikiliza ni za mbele
 
msanii marioo kuna kundi la watu huwa anawaimbia sio msanii mbaya ila huwezi kumuweka na mbosso kilungi
 
Back
Top Bottom