Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Unavyoona ananjaaKitu ambacho nahisi kinawaangusha wasanii wengi hasa wanaoingia kwenye bongo flava kwa sasa ni kumuiga Diamond kuanzia kuongea, mtindo wa mavazi, kutembea na kila kitu.
Ukimuangalia Marioo kwa haraka ni Diamond huyu hapa, hata baadhi ya ladha katika nyimbo zake ni Chibu mtupu.
Hili suala hata P Funk nadhani alilizungumzia kwa hawa vijana kutaka kuishi maisha ya Diamond ilhali maisha yao hakuna wa kiyaishi.