Wewe mwanamke mwenzangu achaga hizi mambo utazaa kabla ya muda wako

Wewe mwanamke mwenzangu achaga hizi mambo utazaa kabla ya muda wako

Anatimiza maandiko

Yeremia 31:22​

Utatangatanga hadi lini, Ee binti mwenye kuasi? Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume.
Mwanaume hachungwi ndugu
 
Vinalindika sasaaaa
Aise ni kama dukani kwako, kuibia utaibiwa ila unapunguza wizi kwa kuwa unamchunga.
Maana wanawake kinachouma hapo ni kwamba hela za mme zinaliwa na mwanamke mwengine....
 
Aise ni kama dukani kwako, kuibia utaibiwa ila unapunguza wizi kwa kuwa unamchunga.
Maana wanawake kinachouma hapo ni kwamba hela za mme zinaliwa na mwanamke mwengine....
Vitaliwa tu hata wakiweka ving'amuzii
 
Mwanaume hachungwi kwa style iyo upole wako ukarimu wako usikivu wako ndo ngao yako kwa mwanaume wako laa mkijifanya mna mdomo ujeur ujuba ndo wenu wanaume tutakula njee mpk iwe bc
 
Hahahah atakufa siku si zake.
Ile mimba itashuka mda si wake..
Mtu mjamzito bado unajiongezea stress ..hata hvo yule baba atakula wapiii akimtrack kiasi hiko mtu tumbo limerendemka hadi kunako zaidi ya chuma mboga ni ipi nyingine anaweza kumsaidia mwenzake...
 
Kwa kweli.
Abiria chunga mzigo wako.
Sasa hivi kuna msemo ukijua mke mwenzako ni mwanamke shukuru sana.
Maana kuna mijanaume nayo inakula sahani moja na sisi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aise ni kama dukani kwako, kuibia utaibiwa ila unapunguza wizi kwa kuwa unamchunga.
Maana wanawake kinachouma hapo ni kwamba hela za mme zinaliwa na mwanamke mwengine....
Hilo ndilo linalowauma.
Hawa watu ni wabinafsi sana.
 
Hilo ndilo linalowauma.
Hawa watu ni wabinafsi sana.
🤣🤣🤣🤣🤣
Ata sie wanaume kwani kinachotuuma nini wakati mke katombwer...sii hela zako ulizowekeza 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom