Wewe mwanamke mwenzangu achaga hizi mambo utazaa kabla ya muda wako

Wewe mwanamke mwenzangu achaga hizi mambo utazaa kabla ya muda wako

Hapa tu. Ukiwa mwanaume Ng'ombe lazima utrackiwe tu.

Wanaume tunaojielewa hawathubutu kabisa hata simu zetu ni za moto. Maisha raha mstarehe
Big up Mwanaume lazima ujitambue. Unafungwaje mnyororo?
 
Asee me sio type ya mchepukaji wala
Yani mm ni wale wa 100% true love sema ndo hvyo ukweli tuuseme...wanaume wa tanzania kama wapo waaminifu basi ni 2 katika 100...
Tusi assume tatizo halipo kumbe lipo
Mimi nakubali kabisa tatizo lipo na ni kubwa. Ni moja ya culture ambayo imeshajijenga kwa wanaume wengi. Ila bado tu wapo wasiokuwa na huo ushenzi.
 
Hivi kweli kuna mwanaume mwenye busara zake na ana mke halafu alale na mwanaume mwenzake?

Shangaa ushangazwe mkuu
Wanaume walioa hadi wanawapangia hao wanaume wenzio. Kuna mambo ukiyaona unatamani yasikutokee
 
Back
Top Bottom