Tafuteni pesaUnatuonea bana😂
Haohao wa mtaani ndo JF JF members.Wanaume wa Jf ndo hawahawa maskini wenzetu wa huku mitaani😏, tofauti yao ni kuwa wako nyuma ya keyboard na simu zao na tablet za mikopo
Kabisa, sema humu wengi wanamiliki asset's za nyuma ya keyboard
Aku, mie babe wangu Genius Man, na jua hili sijui anapuyangia jukwaa gani🥴Ndio mimi mama nimeamua tu kukubaliana na hali
Mimi level zangu ni hawa :
View attachment 3154551
Ila wakina madame b siwawezi namuachia min -me 🤣🤣
Za kuandika tu🤭🤭🤭Atleast wana asset😂
Vp mwamba ni mfuko wa shati kama kama mimi au anajitahidi 🤣Aku, mie babe wangu Genius Man, na jua hili sijui anapuyangia jukwaa gani🥴
HakikaView attachment 3154554Tumetembea Mpaka Tumechoka Sasa
Njoo kwangu basi babe hela ninazo za kutosha napenda madem wenye makalio makubwa.Kabisa, sema humu wengi wanamiliki asset's za nyuma ya keyboard
Umechomokaje kwenye kifusi Anko Shaaban ?.Wazee wa Nyash
😂😂😂mkuu hata mimi nipo kwa hao sitaki stress kabisaNdio mimi mama nimeamua tu kukubaliana na hali
Mimi level zangu ni hawa :
View attachment 3154551
Ila wakina madame b siwawezi namuachia min -me 🤣🤣
Jamaa anajitahidi sana kiukweli....namchuna sana.Vp mwamba ni mfuko wa shati kama kama mimi au anajitahidi 🤣