Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

Dah hilo geto lako mbona la kibabe hivo?
Ndio mimi mama nimeamua tu kukubaliana na hali

Mimi level zangu ni hawa :
Screenshot_20241117-142941.png

Ila wakina madame b siwawezi namuachia min -me 🤣🤣
 
Back
Top Bottom