Sasa hao zinakuwaga tight kichizi baba akeNdio mimi mama nimeamua tu kukubaliana na hali
Mimi level zangu ni hawa :
View attachment 3154551
Ila wakina madame b siwawezi namuachia min -me 🤣🤣
Sijawahi andika uzi wa kuteswa na mapenzi maana hiyo stage nishapitaBasi piga nyeto ndugu usitusumbue na nyuzi
🤣 Kasongo mwana mamaa
Anataka muanzishiwe league na wamiliki wa flat screen 😷Unataka wenye makalio tuanze kutukanwa 😔😔😔🥴🥴🥴
Jibu mbona unalo ,hata ukimpa Pesa bado anaweza asiridhike atataka vitu vingine nje ya Pesa na hapo ndipo lawama zinapoanziaHii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu.
Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa.
Na mwanamke priority yake ni kupenda pesa.
Kwanini tena lawama ya tamaa na ulafi inakujuwa juu ya mwanamke pekee?
Una makalio makubwa?Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu.
Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa.
Na mwanamke priority yake ni kupenda pesa.
Kwanini tena lawama ya tamaa na ulafi inakujuwa juu ya mwanamke pekee?
Inawezekana ikawa kweli ndio maana Mondi kang'anga'nia kwa Zuchu.Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu.
Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa.
Na mwanamke priority yake ni kupenda pesa.
Kwanini tena lawama ya tamaa na ulafi inakujuwa juu ya mwanamke pekee?
Ebu geuka tuone kama ni kweli usemalo!!!Unataka wenye makalio tuanze kutukanwa [emoji17][emoji17][emoji17][emoji3061][emoji3061][emoji3061]
Madame BIla....kwanza mnajua matumizi ya makalio?
Nipo bize na kazi tuAku, mie babe wangu Genius Man, na jua hili sijui anapuyangia jukwaa gani🥴
Wewe ni mkongwe sana humu tumepanda na kushuka milima. Wengine tumetengeneza hadi ID mpya wewe bado upo. Nani atakupa burn kwa unguli ulionao humu?Khaaa!!!!
Nikipewa Ban nani atawaburudisha jukwaani?