Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

20241022_145610.jpg
 
Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu.

Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa.

Na mwanamke priority yake ni kupenda pesa.

Kwanini tena lawama ya tamaa na ulafi inakujuwa juu ya mwanamke pekee?
Jibu mbona unalo ,hata ukimpa Pesa bado anaweza asiridhike atataka vitu vingine nje ya Pesa na hapo ndipo lawama zinapoanzia
 
Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu.

Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa.

Na mwanamke priority yake ni kupenda pesa.

Kwanini tena lawama ya tamaa na ulafi inakujuwa juu ya mwanamke pekee?
Una makalio makubwa?
 
Inawezekana ikawa kweli ndio maana Mondi kang'anga'nia kwa Zuchu.
 
Back
Top Bottom