Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

Acha niuwawe na nyeto tušŸ˜‚
chrome_screenshot_17 Nov 2024 14_45_04 GMT+03_00.png

NB: Haiui mkuu .
 
Sija promote mataka mkuu.

Ila naawaambia ukweli vijana

Kama wanataka starehe kubwa basi wajiandae uchumi mkubwa

Sio kulalamika tu
Hivi toka zamani starehe kubwa ilikuwa ni big nyash?
Zamani wakati mdogo kina sinta,magese,j mengi etc, zilikuwa bidhaa za type hizo ndio zilikuwa expensive staff
Ghafla naona big nya on freakt au ni toka zamani
 
Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu.

Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa.

Na mwanamke priority yake ni kupenda pesa.

Kwanini tena lawama ya tamaa na ulafi inakujuwa juu ya mwanamke pekee?

Kila mwanaume anajua mwanamke anataka ela

Na mwanaume kabla ajamtongoza mwanamke anakuwa tayari ashajua huyu bajet ya siku ni elf 50, au huyu vocha ya buku 5 inamtosha au huyu simuwezi

Shida inakuja ni kwamba wanawake wanashindwa kuwa smart kupata ela zetu

Ela ambazo Sisi tunakesha kuzitafuta yeye anataka azipe kirahisi Tu šŸ˜‚

Mfano wewe unaweza ukawa na milion mbili hapo then akaja dem wako moja Kwa moja akakwambia kucha zake Ndefu anataka akakate na gharama yake ni 230k je utatoa?

But angeweza kupata hiyo 230k Kwa kuwa smart tu
 
Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu.

Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa.

Na mwanamke priority yake ni kupenda pesa.

Kwanini tena lawama ya tamaa na ulafi inakujuwa juu ya mwanamke pekee?
Kijana Cha kufananisha pesa na vitu vya kipumbavu🄶
 
Back
Top Bottom