Wewe ndio chanzo cha umasikini katika familia yenu

Wao ndo waondoke waende kwa wazazi wao maana mimi nipo kwa wazazi wangu [emoji1787][emoji1787]
 
Inamaana nguvu inayotumika kuwalisha, kuwavisha, kuwatibu, kuwapa malazi, kuwasomesha n.k tunaithaminisha na hiyo thamani ya fedha
 
Kwani huyo mtoto amewaomba wamzae. Yeye atakuweje chanzo cha umasikini wao? Wakati yeye alikuwa kimya huko aliko wala alikuwa hana mpango wa kuzaliwa. Kiherehere chai na nyege zao ndio zimepelekea hayo yote. Wapambane na hali zao.
sitaki kucheka
 
Watu wanakataa ukweli 😀 😀 ; hawataki kukubali kuwa wao ni sehemu ya tatizo la umasikini
Kwa maisha ya sasa ni bus ara kuzaa watoto utakaoweza kuwapa maisha bora si bora maisha. Familia inavyokuwa kubwa ndio gharama zinaongezeka. Tunaona wenye watoto wengi wanavyohangaika kuwalea na wengine wanaishia kuwapa ndugu mzigo usiokuwa wao. Na wengine w1natelekeza hadi watoto wao.
 

Sababu ya umaskini wa wengi ni kutokujua hesabu kama Mtoa mada.

Mtoto wa miaka 1-18 hawezi akatumia elfu 10 Kwa Siku Kwa mazingira ya Kitanzania.

Kijana wa miaka 20-25 anaweza akatumia Tsh 5000/= Kwa Siku akaishi vizuri kabisa.

Kijana anayeishi na MKE anauwezo wa Kutumia elfu 10 wakaishi Maisha ya kawaida tuu.

Familia yenye Baba, Mama na watoto watatu unauwezo wa Kutumia elfu 15 Kwa Siku.

Narudia kijana wa Kitanzania age 18-25 hawezi tumia elfu 10 Kwa Siku Kwa matumizi ya kawaida kama anaakili ya pesa
 
Sawa, wazazi wanakusikia ukiwatupia lawama, wakisema wakurudishe walikokutoa, utakubali?

Hilo swali wanamuuliza Nani?
Wao wangefanya hivyo mtoto Kabla hajajitambua wasingeuliza Hilo swali.

Kuzaa kama Mnyama ndio Huko.
MTU mwenye utu Kabla hajazaa lazima ajipange Ajue atawatunzaje Watoto, wataishije na kuwaandalia masiha Bora.

Vinginevyo, hoja ya kisayansi kuwa binadamu ni Mnyama inamashiko Kwa mantiki ya malezi na hoja zingine
 
Lazima tukubali, sisi ndio chanzo cha umasikini wa wazazi wetu 😀
Kama vipi wasingetuleta duniani. Watoto ni jukumu lako uliamua mwenyewe kuzaa.
Watoto wangu hawawezi kuwa chanzo cha umasikini wangu, ningetaka utajiri nisingewazaa.
 
Mbna matajili Wana Mali za kutosha na hawana watoto na hao tuwaweke kweny kundi lipi jamani, kama mnasema umasikini unaletwa na watot
 
Angesema tatizo la umaskini linatokana na watu kutokujua hesabu kama yeye tungemuelewa.

Elfu 10 Kwa MTU mwenye Akili inatosha Kwa familia yenye Maisha ya kawaida. Yenye Watoto watatu, Baba na Mama.
Chakula, malazi, matibabu, usafiri, mavazi, pampas, ada n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…