Wewe ni masikini kama huko kwenye kundi hili!

Hayo maoni yako tu... Usitulazimishe
 
wewe na chawa lukas ni dugu moya
 
Asante Kwa kumjibu vema. Nilitaka nimjibu kipengele Cha kwanza na Cha pili.
 
Umaskin una layers.. mwenye ist anamuona mwenye passo maskini.. mwenye passo anamuona bodaboda maskini.. bodaboda anamuona mwenye baskeli maskini. Mwenye baskeli anamuona mtembea kwa miguu maskini ahurumiwe.. mwenye miguu anamuona mlemavu anaomba kariakoo maskini zaidi.

So umaskini unaendana na vulnerability, pia unapita katika mistari ya kurithishana. Na ukiuangalia v.izur umekaa kikabila, kirangi na kikanda. Although maskin Wanashea kero! Wanaishi nje ya miji maeneo y suburban, hawana sapoti ya familia wal jirani, wanatoa nguvu kazi ya bei rahisi viwandani... hat wale waliosoma wanaenda kuwa casual labour viwandani.

Definition ya vulnerability.. hata wewe Leo ukiumwa kwa kipindi cha mwaka mmoja tu mpaka hela ya kula wewe na familia yako uchangiwe ujue umo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…