WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

App zote kuanzia web apps kuna muda huwa lazima ufanye technical maintenance na sometimes ni procedures za kufix security as well performance bugs..

Wako sahihi....
 
Watenganishe hizi vitu
Yaani zimegoma zote kwa pamoja fb, ig, watsup
 
Free? Sisi wafanya biashara tunalipia , nyinyi wateja wetu mnatumia bure ,wao wanatupa access ya kukutana na nyie kwa kulipia
 
Nchi ndiyo itakosa pesa tulio wapa dhamana siyo wote wenye uwezo wa kufikiri ulio kamilika
 
W
Shukrani,Mkuu kwenye website za pilau wameweza!!
Website za pilau wameweza kiasi ila wameblock common names kama porn, x, etc ila ukiandika jina la actress kisha option zikija unachagua zile ambazo hazina hizo common names inapeta bado...
Web za pilau ziko nyingi sana hawawezi ziblock zote...
Unaweza kuta sitw inaitwa mamasam.com ukiingia balaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…