Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitajie watumiaji wa mitandao kutoka Russia na China hapa bongoWapi Russia
Wapi China ?
Ila kweliiiNa apo wametushika bila kutugusa[emoji28][emoji28][emoji23]
Wapi yaan Marekani akiamua kuisimamisha dunia apitie hapo fb, watsapp na Instagram azime ATA siku moja tu(24hrs)
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Wapo humu twita ila hawapendi show offNitajie watumiaji wa mitandao kutoka Russia na China hapa bongo
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Wapo humu JF ila hawwpendi show offNitajie watumiaji wa mitandao kutoka Russia na China hapa bongo
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kinachouma zaid n sisi baadhi yetu ambao kipato chetu kinategemea hii mitandao
Free? Sisi wafanya biashara tunalipia , nyinyi wateja wetu mnatumia bure ,wao wanatupa access ya kukutana na nyie kwa kulipiaNi kweli, hili ni tatizo la kampuni moja kumiliki hizi app kuu. But nimeona viongozi wa marekani wanakuna vichwa ku-regulate giant tech companies. Na hili tukio ndio lita-propel vizuri nia yao. Wengi hatujui hii fact kwamba ukipewa product for free basi ujuwe wewe ndiyo product. Facebook, Whatapp, na Instagram, etc.... sisi ndiyo product.
Wabongo hamkawiiiiii
Nchi ndiyo itakosa pesa tulio wapa dhamana siyo wote wenye uwezo wa kufikiri ulio kamilikaHabari za usiku wadau?!!
Mkoa niliopo hakuna mawasiliano ya WhatsApp, Instagram na social network zote maarufu,hii imetokea tangu saa 12 na nusu!!!
Kwa wale wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka kua miezi kadhaa iliyopita serikali kupitia TCRA ilizima na kuzuaia websites zote za kikubwa ambazo huonyesha maudhui ya ngono na hadi leo hawajatoa tamko,je wamehamia na kwenye social network?!!
Nimeunga bundle mara 10 dadek[emoji35]
Duuh.
Ndo maana naona wasap yangu ime mute nikahc mtandao
Website za pilau wameweza kiasi ila wameblock common names kama porn, x, etc ila ukiandika jina la actress kisha option zikija unachagua zile ambazo hazina hizo common names inapeta bado...Shukrani,Mkuu kwenye website za pilau wameweza!!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mfano Ali kibaWapo humu JF ila hawwpendi show off