Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,491
Mi naona wanazuga tu. Kwanini wasifanye mojamoja. Haiingii akilini ku-shut down platform zote 3. Na siamini kama zote ziko kwenye base au mfumo mmoja kiasi kwamba huwezi ukai-service separately.Soon wanazirudisha kweny hali ya kawaida wanafanya marekebisho na kuboresha apps hizo washatoa tangazo
Ina sehemu ya kutongozea ?Tiktok ya kichina hiyo haya kajimwambafai huko
Lakini na dunia itakoma kwa huo mudaWatapoteza mapato mengi sana cz hizo
Apps zinaingiza mapato mengi sana
Tupieni VPNAu tatizo hili ninalo mimi tu?
Mie paka nmenunua bundle jipyaMimi nime-restart zaidi ya mara 10 daadeq...
Cha kujifunza kama baiskeliHiki kingereza ni cha kusoma au cha kujifunza? (ras Simba) nk
[emoji28][emoji28][emoji28] watakuwa wanaingiza virusi vya Corona kwenye hizo apps watuue waafrika (joke)Na apo wametushika bila kutugusa[emoji28][emoji28][emoji23]
Kumbe jamaa kadukuliwa cyo?Wadau washa mdukua Zecker wanataka pesa waachie online iendelee kudadeki
[emoji3][emoji3][emoji3] we jamaa wwNimefuta pilau nikijua storage
Hahahaaa! Unauliza swali halafu unajijibu mwenyewe!!!. Tafadhali kaka, kaangalie hii movie 'Social media dilema'.Free? Sisi wafanya biashara tunalipia , nyinyi wateja wetu mnatumia bure ,wao wanatupa access ya kukutana na nyie kwa kulipia
Facebook, WhatsApp na Instagram hazifanyi kazi.. Mmeona sasa umuhimu wa Katiba mpya! Nawaeleza kila siku hapa!View attachment 1962921Hapa ndo naungana na wasema ukweli hakuna jaribio la serikali kuzima mtandao bali ni Dunia nzima hata ambao hawako Tz they experience the same problem
View attachment 1962924
Nikajua HALOTEL network imezengua nikawapandia kuwagombeza kumbe ni huyo dogo ndo anatubabaishaAu tatizo hili ninalo mimi tu?
Ajiandae kulipa mabilioni ya faini,maana Marekani wateja na Serikali hawatakagi upuuzi.Kummilikisha mtu mmoja mitandao mitatu mistake
Mark ameifanya hii mitandao kuwa na sheria moja akizima anazima kote
Ni kama serikali ilivyoiminya mifuko ya jamii ikaifanya kitukimoja mwishowe na sheria zimekuwa moja likitokea la kutokea ni kote kote
Facebook, WhatsApp na Instagram hazifanyi kazi.. Mmeona sasa umuhimu wa Katiba mpya! Nawaeleza kila siku hapa!
Vipi mkuu[emoji3][emoji3][emoji3] we jamaa ww