WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

.ku
Karibu the home of great thinker..😁
Aysee na ndo maana sijutii kuwa member hukuu maana kuna muda unakuta huna mood ila kukutana na reply kama ulioweka hapo lazma mtu ujikute tu unacheka
 
Na WhatsApp je?!! Mkoa niliopo hata WhatsApp ngoma haifanyi kazi tangu saa 12 unusu!!

Nimejaribu kutumia laini zangu za kampuni 3 tofauti na zote zimegoma!!

Ila JF kama hivi mwendo mswano
Whatsapp na facebook ni kampuni moja pamoja na instagram.
 
Huku face book haipo, bila ya shaka hawataki kesi ya Mbowe ijulikane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…