hapana mkuu silifahamu hilo,ila ufanyaji kazi wake unakuwaje wazawa hawamchukii mtanzania mwenzetu huyo?
Nalog off
Ni kama consultant,nia ni kutengeneza nidhamu na chain of command.
Mkuu unajua kwa nn Adadi kapelekwa Harare?Yu wapi Tsavangirai?
Unajua kwa nn Kagame kakataa yule balozi?lakini soon tutasikia tu side effects.
Hawa jamaa wa TISS ni wabaya sana kaka..sinema ya Chadema imeanza taratiiibu kama alivyobashiri Tyson