Mwenzako ametoa ushahidi na uhusika wake na makampuni kadhaaa wewe unapinga kwa kutumia hoja gani??Wewe kumbe nawewe ni kilazatu, wewe umejua Majaliwa yupo nyuma ya sukari kwa ushahidigani.
Kupambana na marehem nikupoteza muda tu bahati nzuri wananchi wanajua kilakitu.
Huyu jamaa katunga uongo na ni mnafiki kabisa. Mh. Majaliwa ni muadilifu sana na Mama Samia ni muadilifu sana. Mleta habari lengo lake ni kuichafua serikali ya Mama Samia. Akikubali tu watabadili gia, mtoto akikunyea mkononu unajisafisha hukati mkono, ila watasema Mama nayeye alikuwa sehemu ya uovu hivyo hafai na yeye ni mwizi. Yaani Mama ajue genge analohusika nalo la Msoga ni hatari sana tena sana. Arejee Salim Ahmad Salim walivyomtungia mpaka kitabu na wakamuita mhizbu na walienda zenj kuzindua kitabu cha kumdhalilisha. Mama achana na akina Makamba na Nape ni wahuni. Mipango yao ni noma, juzi kati hapa wamemnyamazisha msukuma kwa kumpatia PhD fake, sasa msukuma hawezi kujipambanua tena maana kila akiropoka watasema PhD fake. HahahahHivi hii ya Magufuli na kiwanda cha Sukari ingekuwa ni kweli mtu kama Zitto, Nape na wenzake wangeacha kuilipua?!
Ni kweli ndicho kilichotokea.Inakuwaje uliyempa leseni ya kuzalisha sukari ndiye unampa leseni ya kuagiza nje? Halafu bado unatuambia wakulima wa miwa wa bonde la Kilombero na Mtibwa kwa mwaka wanashindwa kuuza miwa yao kiwandani? Hiyo ndiyo NONSENSE
Ni sheria ya HOVYO mtu ambaye amepewa leseni ya kuzalisha sukari bado unamuongezea kuagiza sukari ikipungua. Mzalishaji anapata uvivu wa kuzalisha kwa kuwa kuagiza ni rahisi. Mwisho wa siku miwa Tani 200,000 inabakia haijanunuliwa kutoka kwa wakulima wa Kilombero na Mtibwa
😅😅😅Pingeni hoja za mleta mada acheni matusi.Huyu jamaa katunga uongo na ni mnafiki kabisa. Mh. Majaliwa ni muadilifu sana na Mama Samia ni muadilifu sana. Mleta habari lengo lake ni kuichafua serikali ya Mama Samia. Akikubali tu watabadili gia, mtoto akikunyea mkononu unajisafisha hukati mkono, ila watasema Mama nayeye alikuwa sehemu ya uovu hivyo hafai na yeye ni mwizi. Yaani Mama ajue genge analohusika nalo la Msoga ni hatari sana tena sana. Arejee Salim Ahmad Salim walivyomtungia mpaka kitabu na wakamuita mhizbu na walienda zenj kuzindua kitabu cha kumdhalilisha. Mama achana na akina Makamba na Nape ni wahuni. Mipango yao ni noma, juzi kati hapa wamemnyamazisha msukuma kwa kumpatia PhD fake, sasa msukuma hawezi kujipambanua tena maana kila akiropoka watasema PhD fake. Hahahah
Fuatilieni hotuba ya Prof. Mkenda. Kilichopo ni capacity ya viwanda ni ndogo.Inakuwaje uliyempa leseni ya kuzalisha sukari ndiye unampa leseni ya kuagiza nje? Halafu bado unatuambia wakulima wa miwa wa bonde la Kilombero na Mtibwa kwa mwaka wanashindwa kuuza miwa yao kiwandani? Hiyo ndiyo NONSENSE
Ni sheria ya HOVYO mtu ambaye amepewa leseni ya kuzalisha sukari bado unamuongezea kuagiza sukari ikipungua. Mzalishaji anapata uvivu wa kuzalisha kwa kuwa kuagiza ni rahisi. Mwisho wa siku miwa Tani 200,000 inabakia haijanunuliwa kutoka kwa wakulima wa Kilombero na Mtibwa
Muadilifu aliyepita bila kupingwa??Hahaha waziri mkuu ni mtu muadilifu sana, ni sawa tu na Mama Samia.
Waliopiga wawajibishwe kwanza. Na pilato akipiga tutamsemaTuna uhakika gani huyo pilato unayempa taarifa naye hapigi?
Hivi kile kiwanda cha sukari na shamba la Miwa la Bakhresa liliishia wapi?Inawezekana ikawa kweli Ila pia inawezekana kundi la walanguzi na waagizaji ndio wanafanya hizi propaganda ili wapate uhalali wa kuingiza sukari.
Hapo utetezi unalazimisha ni lazima sukari iagizwe na mtu yoyote sio viwanda peke yake. Kuna walakini
Tatizo lenu mnatafuta pa kutokea 2025, yaaniMuadilifu aliyepita bila kupingwa??
Wewe umeandika hapo juu kuwa unayajua yote yaliyoandikwa na mleta hoja. Tuwekee hapa tusome na utakuwa umesaidia kutupa ushahidi ulionao. Leta ushahidi hapa nausubiri!Hana ushahidi mleta habari ni muhuni tu fulani
Kampuni anaweza kuifuta pale anapoona mambo yamebumbuluka sana. Ukiwa Rais Tz unakuwa kama mungu mtu. hekta 60k ni nyingi mno labda alitaka kusema hekta 60001. "Seif na Magufuli wanamiliki zaidi ya hecta 60,000 kule Kyaka" !!!
Hiyo ni ardhi kubwa mno. Almost hekari 148,000!
USHAHIDI uko wapi? Tuwekee evidence hapa za umiliki wa hiyo ardhi.
2. Tenda ya kununua mashine ikapewa kampuni ya Ethiopia (jina la kampuni?), ambapo Magufuli ni mnufaika wa hiyo dili. Magufuli huyo huyo tena akaifuta hiyo tenda!!
Weka jina la hiyo kampuni ya Ethiopia. Pia weka ushahidi wa hiyo tender walioshinda hao kampuni ya Ethiopia. Na ni kwanini Magufuli aliifuta hiyo tenda ilihali yeye pia ni mnufaika wa hiyo dili?
3. Baada tu ya kifo cha Magufuli, Mfugale akamalizia malipo ya Tsh 169 B, na Kassim Majaaliwa aliidhinisha malipo hayo na yeye kumegewapo Tsh 4.9 B!
Weka ushahidi wa hizo transactions. Haiwezekani ukafahamu the amount figure (4.9 B) pasipo kuona transaction evidence. Tuwekee evidence hapa.
_____________________
Whistleblowing is to portray serious allegations. Who alleges must prove.
Kama unakuwa hauna proof or evidence, basi jiite 'mtoa tetesi' tu, and not whistleblower.
Being a 'whistleblower' , watertight PROOF & EVIDENCE are part of the package. Not brah brah and empty tales.
-Kaveli-
Tabu sana na kuna wale mawakili wa michongo watahusika na majopo yao ya michongoHao wahuni watatumia sheria hizo kunyonga wasema ukweli kama hawa. It will be viceversa
Ya Lowasa na Dowans yalianza hivi hivi. Zile Trilion 1.5 za jiwe mliona evidence??1. "Seif na Magufuli wanamiliki zaidi ya hecta 60,000 kule Kyaka" !!!
Hiyo ni ardhi kubwa mno. Almost hekari 148,000!
USHAHIDI uko wapi? Tuwekee evidence hapa za umiliki wa hiyo ardhi.
2. Tenda ya kununua mashine ikapewa kampuni ya Ethiopia (jina la kampuni?), ambapo Magufuli ni mnufaika wa hiyo dili. Magufuli huyo huyo tena akaifuta hiyo tenda!!
Weka jina la hiyo kampuni ya Ethiopia. Pia weka ushahidi wa hiyo tender walioshinda hao kampuni ya Ethiopia. Na ni kwanini Magufuli aliifuta hiyo tenda ilihali yeye pia ni mnufaika wa hiyo dili?
3. Baada tu ya kifo cha Magufuli, Mfugale akamalizia malipo ya Tsh 169 B, na Kassim Majaaliwa aliidhinisha malipo hayo na yeye kumegewapo Tsh 4.9 B!
Weka ushahidi wa hizo transactions. Haiwezekani ukafahamu the amount figure (4.9 B) pasipo kuona transaction evidence. Tuwekee evidence hapa.
_____________________
Whistleblowing is to portray serious allegations. Who alleges must prove.
Kama unakuwa hauna proof or evidence, basi jiite 'mtoa tetesi' tu, and not whistleblower.
Being a 'whistleblower' , watertight PROOF & EVIDENCE are part of the package. Not brah brah and empty tales.
-Kaveli-
Ndio kazi zao za michongoTabu sana na kuna wale mawakili wa michongo watahusika na majopo yao ya michongo
WahuniKesi ya Ngedere anapelekewa nyani, Ila sijui kwa nini namuamini sana mama kweli yeye ni mnyenyekevu Ila kazungukwa na majenerali wa ufisadi na Hivi vitu ndivyo vya kujadiliwa
Sisi tunakwenda na ukweli kadri unavyokuja Akizingua na yeye tutampopoa tu. Hii nchi ni yetu ni ya watanzania woteTatizo lenu mnatafuta pa kutokea 2025, yaani
Mama akiingia tu mkenge mtamgeuka. Mnatunga uongo uongo ili kumchanganya. Uzuri mnajulikana.
Tatizo njia mnayotumia siyo sahihi. Mama ndiye rais na ndiye mpeperusha bendera wetu wa 2025, ila nyie mnafanya kila mbinu kuhakikisha mnamfitinisha na wapiga kura. Mnatunga uongo mwingi wa ufisadi ili awamu ya 5 ionekane ilikuwa fisadi ili mje kusema Mama alikuwa sehemu ya ufisadi hafai. Kikubwa tumewastukia lazima Mama na Dkt Magufuli tuwatetee kwa nguvu zetu zote. Awamu ya 5 ilikuwa ni serikali ya kizalendo sanaSisi tunakwenda na ukweli kadri unavyokuja Akizingua na yeye tutampopoa tu. Hii nchi ni yetu ni ya watanzania wote