Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

Inakuwaje uliyempa leseni ya kuzalisha sukari ndiye unampa leseni ya kuagiza nje? Halafu bado unatuambia wakulima wa miwa wa bonde la Kilombero na Mtibwa kwa mwaka wanashindwa kuuza miwa yao kiwandani? Hiyo ndiyo NONSENSE

Ni sheria ya HOVYO mtu ambaye amepewa leseni ya kuzalisha sukari bado unamuongezea kuagiza sukari ikipungua. Mzalishaji anapata uvivu wa kuzalisha kwa kuwa kuagiza ni rahisi. Mwisho wa siku miwa Tani 200,000 inabakia haijanunuliwa kutoka kwa wakulima wa Kilombero na Mtibwa
 
Wewe kumbe nawewe ni kilazatu, wewe umejua Majaliwa yupo nyuma ya sukari kwa ushahidigani.
Kupambana na marehem nikupoteza muda tu bahati nzuri wananchi wanajua kilakitu.
Mwenzako ametoa ushahidi na uhusika wake na makampuni kadhaaa wewe unapinga kwa kutumia hoja gani??
 
Hivi hii ya Magufuli na kiwanda cha Sukari ingekuwa ni kweli mtu kama Zitto, Nape na wenzake wangeacha kuilipua?!
Huyu jamaa katunga uongo na ni mnafiki kabisa. Mh. Majaliwa ni muadilifu sana na Mama Samia ni muadilifu sana. Mleta habari lengo lake ni kuichafua serikali ya Mama Samia. Akikubali tu watabadili gia, mtoto akikunyea mkononu unajisafisha hukati mkono, ila watasema Mama nayeye alikuwa sehemu ya uovu hivyo hafai na yeye ni mwizi. Yaani Mama ajue genge analohusika nalo la Msoga ni hatari sana tena sana. Arejee Salim Ahmad Salim walivyomtungia mpaka kitabu na wakamuita mhizbu na walienda zenj kuzindua kitabu cha kumdhalilisha. Mama achana na akina Makamba na Nape ni wahuni. Mipango yao ni noma, juzi kati hapa wamemnyamazisha msukuma kwa kumpatia PhD fake, sasa msukuma hawezi kujipambanua tena maana kila akiropoka watasema PhD fake. Hahahah
 
Inakuwaje uliyempa leseni ya kuzalisha sukari ndiye unampa leseni ya kuagiza nje? Halafu bado unatuambia wakulima wa miwa wa bonde la Kilombero na Mtibwa kwa mwaka wanashindwa kuuza miwa yao kiwandani? Hiyo ndiyo NONSENSE

Ni sheria ya HOVYO mtu ambaye amepewa leseni ya kuzalisha sukari bado unamuongezea kuagiza sukari ikipungua. Mzalishaji anapata uvivu wa kuzalisha kwa kuwa kuagiza ni rahisi. Mwisho wa siku miwa Tani 200,000 inabakia haijanunuliwa kutoka kwa wakulima wa Kilombero na Mtibwa
Ni kweli ndicho kilichotokea.
 
😅😅😅Pingeni hoja za mleta mada acheni matusi.

Amewalipua
 
Inakuwaje uliyempa leseni ya kuzalisha sukari ndiye unampa leseni ya kuagiza nje? Halafu bado unatuambia wakulima wa miwa wa bonde la Kilombero na Mtibwa kwa mwaka wanashindwa kuuza miwa yao kiwandani? Hiyo ndiyo NONSENSE

Ni sheria ya HOVYO mtu ambaye amepewa leseni ya kuzalisha sukari bado unamuongezea kuagiza sukari ikipungua. Mzalishaji anapata uvivu wa kuzalisha kwa kuwa kuagiza ni rahisi. Mwisho wa siku miwa Tani 200,000 inabakia haijanunuliwa kutoka kwa wakulima wa Kilombero na Mtibwa
Fuatilieni hotuba ya Prof. Mkenda. Kilichopo ni capacity ya viwanda ni ndogo.
 
1. "Seif na Magufuli wanamiliki zaidi ya hecta 60,000 kule Kyaka" !!!

Hiyo ni ardhi kubwa mno. Almost hekari 148,000!

USHAHIDI uko wapi? Tuwekee evidence hapa za umiliki wa hiyo ardhi.

2. Tenda ya kununua mashine ikapewa kampuni ya Ethiopia (jina la kampuni?), ambapo Magufuli ni mnufaika wa hiyo dili. Magufuli huyo huyo tena akaifuta hiyo tenda!!

Weka jina la hiyo kampuni ya Ethiopia. Pia weka ushahidi wa hiyo tender walioshinda hao kampuni ya Ethiopia. Na ni kwanini Magufuli aliifuta hiyo tenda ilihali yeye pia ni mnufaika wa hiyo dili?

3. Baada tu ya kifo cha Magufuli, Mfugale akamalizia malipo ya Tsh 169 B, na Kassim Majaaliwa aliidhinisha malipo hayo na yeye kumegewapo Tsh 4.9 B!

Weka ushahidi wa hizo transactions. Haiwezekani ukafahamu the amount figure (4.9 B) pasipo kuona transaction evidence. Tuwekee evidence hapa.
_____________________

Whistleblowing is to portray serious allegations. Who alleges must prove.

Kama unakuwa hauna proof or evidence, basi jiite 'mtoa tetesi' tu, and not whistleblower.

Being a 'whistleblower' , watertight PROOF & EVIDENCE are parts of the package. Not brah brah and empty tales.

-Kaveli-
 
Inawezekana ikawa kweli Ila pia inawezekana kundi la walanguzi na waagizaji ndio wanafanya hizi propaganda ili wapate uhalali wa kuingiza sukari.
Hapo utetezi unalazimisha ni lazima sukari iagizwe na mtu yoyote sio viwanda peke yake. Kuna walakini
Hivi kile kiwanda cha sukari na shamba la Miwa la Bakhresa liliishia wapi?
 
Hana ushahidi mleta habari ni muhuni tu fulani
Wewe umeandika hapo juu kuwa unayajua yote yaliyoandikwa na mleta hoja. Tuwekee hapa tusome na utakuwa umesaidia kutupa ushahidi ulionao. Leta ushahidi hapa nausubiri!
 
1. "Seif na Magufuli wanamiliki zaidi ya hecta 60,000 kule Kyaka" !!!

Hiyo ni ardhi kubwa mno. Almost hekari 148,000!

USHAHIDI uko wapi? Tuwekee evidence hapa za umiliki wa hiyo ardhi.

2. Tenda ya kununua mashine ikapewa kampuni ya Ethiopia (jina la kampuni?), ambapo Magufuli ni mnufaika wa hiyo dili. Magufuli huyo huyo tena akaifuta hiyo tenda!!

Weka jina la hiyo kampuni ya Ethiopia. Pia weka ushahidi wa hiyo tender walioshinda hao kampuni ya Ethiopia. Na ni kwanini Magufuli aliifuta hiyo tenda ilihali yeye pia ni mnufaika wa hiyo dili?

3. Baada tu ya kifo cha Magufuli, Mfugale akamalizia malipo ya Tsh 169 B, na Kassim Majaaliwa aliidhinisha malipo hayo na yeye kumegewapo Tsh 4.9 B!

Weka ushahidi wa hizo transactions. Haiwezekani ukafahamu the amount figure (4.9 B) pasipo kuona transaction evidence. Tuwekee evidence hapa.
_____________________

Whistleblowing is to portray serious allegations. Who alleges must prove.

Kama unakuwa hauna proof or evidence, basi jiite 'mtoa tetesi' tu, and not whistleblower.

Being a 'whistleblower' , watertight PROOF & EVIDENCE are part of the package. Not brah brah and empty tales.

-Kaveli-
Kampuni anaweza kuifuta pale anapoona mambo yamebumbuluka sana. Ukiwa Rais Tz unakuwa kama mungu mtu. hekta 60k ni nyingi mno labda alitaka kusema hekta 6000
 
1. "Seif na Magufuli wanamiliki zaidi ya hecta 60,000 kule Kyaka" !!!

Hiyo ni ardhi kubwa mno. Almost hekari 148,000!

USHAHIDI uko wapi? Tuwekee evidence hapa za umiliki wa hiyo ardhi.

2. Tenda ya kununua mashine ikapewa kampuni ya Ethiopia (jina la kampuni?), ambapo Magufuli ni mnufaika wa hiyo dili. Magufuli huyo huyo tena akaifuta hiyo tenda!!

Weka jina la hiyo kampuni ya Ethiopia. Pia weka ushahidi wa hiyo tender walioshinda hao kampuni ya Ethiopia. Na ni kwanini Magufuli aliifuta hiyo tenda ilihali yeye pia ni mnufaika wa hiyo dili?

3. Baada tu ya kifo cha Magufuli, Mfugale akamalizia malipo ya Tsh 169 B, na Kassim Majaaliwa aliidhinisha malipo hayo na yeye kumegewapo Tsh 4.9 B!

Weka ushahidi wa hizo transactions. Haiwezekani ukafahamu the amount figure (4.9 B) pasipo kuona transaction evidence. Tuwekee evidence hapa.
_____________________

Whistleblowing is to portray serious allegations. Who alleges must prove.

Kama unakuwa hauna proof or evidence, basi jiite 'mtoa tetesi' tu, and not whistleblower.

Being a 'whistleblower' , watertight PROOF & EVIDENCE are part of the package. Not brah brah and empty tales.

-Kaveli-
Ya Lowasa na Dowans yalianza hivi hivi. Zile Trilion 1.5 za jiwe mliona evidence??
 
Tatizo lenu mnatafuta pa kutokea 2025, yaani
Mama akiingia tu mkenge mtamgeuka. Mnatunga uongo uongo ili kumchanganya. Uzuri mnajulikana.
Sisi tunakwenda na ukweli kadri unavyokuja Akizingua na yeye tutampopoa tu. Hii nchi ni yetu ni ya watanzania wote
 
Tatizo njia mnayotumia siyo sahihi. Mama ndiye rais na ndiye mpeperusha bendera wetu wa 2025, ila nyie mnafanya kila mbinu kuhakikisha mnamfitinisha na wapiga kura. Mnatunga uongo mwingi wa ufisadi ili awamu ya 5 ionekane ilikuwa fisadi ili mje kusema Mama alikuwa sehemu ya ufisadi hafai. Kikubwa tumewastukia lazima Mama na Dkt Magufuli tuwatetee kwa nguvu zetu zote. Awamu ya 5 ilikuwa ni serikali ya kizalendo sana
 
Back
Top Bottom