Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Inakuwaje uliyempa leseni ya kuzalisha sukari ndiye unampa leseni ya kuagiza nje? Halafu bado unatuambia wakulima wa miwa wa bonde la Kilombero na Mtibwa kwa mwaka wanashindwa kuuza miwa yao kiwandani? Hiyo ndiyo NONSENSE
Ni sheria ya HOVYO mtu ambaye amepewa leseni ya kuzalisha sukari bado unamuongezea kuagiza sukari ikipungua. Mzalishaji anapata uvivu wa kuzalisha kwa kuwa kuagiza ni rahisi. Mwisho wa siku miwa Tani 200,000 inabakia haijanunuliwa kutoka kwa wakulima wa Kilombero na Mtibwa