Who is INDO Power Solutions na ni nani Bw. Brian Mutembei?

Kama ilivyokuwa kwenye makinikia, Propesa Kabundi alisifu hiyo dili kuwa ni halali, imefuata taratibu zote za kisheria na palikuwa na uwazi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au hilo neno Power ndio linakuchanganya mkuu?
 
Kama ilivyokuwa kwenye makinikia, Propesa Kabundi alisifu hiyo dili kuwa ni halali, imefuata taratibu zote za kisheria na palikuwa na uwazi.


Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kama Professor Kabudi anatambua kuwa amejiingiza katika matatizo makubwa sana baada ya kuamua kuukana msimamo wa awali na kujishirikisha na wezi wa mali za umma huku wakimtumia yeye kama msemaji wao wa kisheria. Hakika Mgogo huyo atakuja kujuta siku zijazo
 
It looks like hiyo Kampuni wao wenyewe ndo wameipa hiyo kampuni Pesa ijifanye imenunua Koroshow ili wajinasue kwenye shimo walilojiingiza kwa sababu ya kukurupuka!

Matokeo yake kwenye huo mchezo tutapigwa hela ndefu sana na wajanja kwa sababu hizo hela hazina auditing yoyote!!
 
Hii ni disaster kwa nchi yetu tokea tupate Uhuru, kweli uongozi wa juu unajiingiza kwenye utapeli kwa hela za serikali zilizokwibwa? No wonder CAG Akawa anapigwa mikwala ili kumuondoa kwenye umakini wake waendeleze wizi wao.
Ila ajabu kubwa ni kuwa kuna watu humu JF na kwingineko wanashindwa kuiona hali hii na wanabaki kuwa wapiga debe wa dikteta bila hata haya. Wamelishwa nini? Hawana tofauti na waume walio twangwa Limbwata maana wao hata wakute mke ana dume kaingiza ndani, wako radhi kutoingia ndani wasubirie nje ili dume limalize haja zake liondoke huku likisema labda mkewe alikuwa anaongea mambo ya biashara.
 
Mimi siamini kama ni Kampuni ya kitapeli. Siku ile ya utiaji sahihi Waheshimiwa walitoa sauti ya kuisifu na kukaa nyuma ya watia sahihi kwa mbwembwe.
 
Balozi wa Kenya alikuwepo na akaahidi kesho yake baada ya sahihi atambrief Rais Kenyatta. Huu utapeli maana yake serikali ya Kenya inahusika. Hebu acheni propoganda uchwara.

Richmond ilikuwa ya wahindi hapo uhuru wenye biashara ya stationery na kupiga photocopies. Kifo na Usingizi havilinganishwi hata siku moja.
 

Hii ni balaa
 
Hii ni balaa

Ni balaa kubwa sana kaka, wakati mwingine unajiuliza hivi TISS kazi yao ni nini haswa?

Maana kama member wa JF ameweza kwenda Chimbo kidogo tu na kuibuka na information muhimu za hii kampuni "kanjanja" ina maana hawa TISS na mtandao wao mpana wameshindwa kuliona hili, au nao ni washirika katika hili gemu?
 

Kazi yao kuua wapinzani tu
 
Usalama wa Taifa aka Usalama wa CCM na serikali yake wako busy kupoteza wapinzani.
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimekuwa ni aibu kwa taifa.
 
Commodity trading inahitaji akili Sana.bila mikopo mikubwa kutoka bank huwezi fanya hii biashara.waulizeni Congo na rubber yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…