Toa reason, mpka sasa unaongea tu na hakuna reason behind.Sina chuki na mange napenda mnoo kutetea gender yangu ila kwenye postive tu
Ukiondoa taarifa anazovujishiwa ni wakaida kwenye reasoning
Ndo maana walimtoa because she's a threat. The system outcasts those who work against itNikikumbuka Mange aliwahi kuwa kada wa Ccm na kutaka kugombea kupitia Ccm nachoka Mimi.
Mimi tokea nazaliwa nakua naiona hii inchi automatically najua Ccm ni takataka bila kuelimishwa na mtu , sasa mtu mzima Genius unakuwa kada mtiifu na kutaka ulaji kupitia kwao inakuja kweli ?
wapi mleta Uzi amesema Mange hana kasoro. yeye ni genius. Genius sio Mungu.Mange anamakosa Mengi mno na kasoro nyingi , kumpa sifa kuwa na akili kuliko wote hali make sense
And that's straight factswapi mleta Uzi amesema Mange hana kasoro. yeye ni genius. Genius sio Mungu.
Hapa akiwa na jezi za Ccm , Mimi tokea nipo mdogo sijabalehe najua Ccm ni mafisadi .Wewe jamaa ni waajabu lini mange amekuwa kiongozi huko ccm au amekula kupitia ccm ni lini au mwaka upi
Wadanganyika ni rahisi sana kuwayumbisha kama gari bovu, wanatumia hisia kuliko akili.Hapa akiwa na jezi za Ccm , Mimi tokea nipo mdogo sijabalehe najua Ccm ni mafisadi .
Baada ya Magu kufa alikuwa chawa mkubwa wa Samia , Mtu genius alipaswa kuAnticipate kuwa Ccm ndio walewale Samia alikuwa Msaidizo wa Magu hakuna kitachobadilika
View attachment 3703729
Uzi tayari ? 😂🙌Sio kuwakweza wengine.. Ila ukweli ndio huo.
Watanzania huwa tunapenda kudanganya, huwa tunapenda kuambiwa uongo..
Ukisikiloza press ya Lema, utaona kabisa aliongea shit, alikuwa ni kama anawapanga watanzania, Haku ongea mustakabali wa taifa na jinsi tunaweza kutoka kupitia haki..
Alicho kifanya ni gaslighting, na kuwaongelea vibaya wapigania haki,, (Heche) eti amemlea... Sijui alimnunulia pikipiki na kum suggests awe makamu mwenyekiti, na drama nyingi ambazo ni pointless ili tu awateke watanzania.
Hakukuwa na any viable strategy ya haki na misingi ya demokrasia katika press yake.
Ila majibu ya mange mmeyasikia?
Kwanza haja onesha kupanic, haja toka kwenye misingi yake ya kuongelea haki na misingi ya chama hata kama yeye sio mwanachama.
Kaonesha logic invalidity ya maneno ya Lema, kasema ukweli Mchungu ambao unafuata na kuclear wingu la maneno ya shobo kutoka kwa lema(inachekesha sana kusikia kitu ambacho kiko wazi kabisa)
Yaani ukiangalia maneno ya Mange, una tambua fika kabisa she's a genius by birth, ni kheri kabisa. Yaani akili yake haina filter za upumbavu, hana kukwepesha maneno na anakuambia ukweli right in your face hata kama ni Mchungu.
Ni akili kama za mange ndo zilipaswa kushika nchi, ila ndo hivyo wanaishia kuwa threat ya system.
Mimi sema kweli naona kabisa watz tutaendelea kubiruzwa, it requires waking the *** out of manipulations uweze kumwelewa mange, hapindishi maneno, na anabeba maneno yake like she owns it.
She's a woman messiah... Mkatae mkubali. Hata chadema yenyewe kaibeba mikononi.
Mange haja wahi kua na chama.Right in your face akiwa nyuma ya kamera bila hadhira kila mtu anaweza.
Mange ni crazy!
Mtu akijiona yeye ni msafi zaidi huenda yeye ndo mchafu.
Mange hajawahi kula hata 100 ya mbogamboga?
Anachofanya mange si kitendo cha kiungwana. Kama alikua na ushahidi wa lema angeuwasilisha kwa viongozi wa chadema directly na si kutaka kujiona yeye ni perfect au anajua sana
Wako viongozi wengi wanateleza na kupewa onyo na kamati kuu bila kutengeneza taharuki au kumchafulia mtu CV,
Kitendo cha mange kutaka watu wamwone Lema msaliti haijakaa sawa ilihali ushahidi wake ni wa maneno TU.
Nimepata mIsamiati mpya 😂Wadanganyika ni rahisi sana kuwayumbisha kama gari bovu, wanatumia hisia kuliko akili.
We bwashee hutumiagi logic kabisa...Wadanganyika ni rahisi sana kuwayumbisha kama gari bovu, wanatumia hisia kuliko akili.
Logic ya nini sasa hapo? Na jambo lipo waziWe bwashee hutumiagi logic kabisa...
Anza leo kusikiliza hoja za Mange, acha mihemko, angalia atmosphere ya nchi hii na uone validity ya kile mange anakisema
Basi bwashee uko chini sana kupambanua mamboLogic ya nini sasa hapo? Na jambo lipo wazi
Mange akisema wakalale wote wadanganyika wanaenda kama mazuzuNimepata mIsamiati mpya 😂
WADANGANYIKA
DANGA
DANGANYIKA
We akili yako haina utulivu ndo maana huwezi kuchanganya mambo mpaka uoneWajinga lazima msifiane.kama mange unamuona ana akili basi wewe ni mjinga wa mwisho.Maana kama unaona mtu kuongea ongea na kuropoka mambo bila ushahidi ndo akili wewe utakua ni mfu kifikra.Huo ujinga malizaneni wenyewe uko bila kuhusisha wanawake ze tu.
Kwani wenye akili hawezi kukosea, kusema kwamba ana akili nyingi sana siyo ndo mtakatifu sana yeye ni Binadamu na ana mapungufu...lkn sense ya yeye kuwa na Akili ni fact tunatofautiana uwezo wa akili ndiyo.Mange anamakosa Mengi mno na kasoro nyingi , kumpa sifa kuwa na akili kuliko wote hali make sense
Kuliko Wanawake wote izo ni hisia zake ...lkn facts ni kwamba akili anazo.. that's why tuna mjadili apa uyo Mange.Jamaa kasema kuliko wanawake wote ni makisio tu na uwajibikaji na nadhani katumia kipimo cha wanawake wa Tanzania..ila nisilo na shaka nalo ni kuwa hapa Tanzania hakuna SHEKH HATA MMOJA ANAYE WEZA KUFIKIA AKILI YA MANGE JAPO NAYO NI DUNI ILA HAKUNA SHEKH MWENYE KUZIFIKIA HATA KWA ASILIMIA 60%
Uelewa wako wa siasa ni mdogoHapa akiwa na jezi za Ccm , Mimi tokea nipo mdogo sijabalehe najua Ccm ni mafisadi .
Baada ya Magu kufa alikuwa chawa mkubwa wa Samia , Mtu genius alipaswa kuAnticipate kuwa Ccm ndio walewale Samia alikuwa Msaidizo wa Magu hakuna kitachobadilika
View attachment 3703729
Na hawezi sema watu wakalale sababu yeye sio mjinga hivyoMange akisema wakalale wote wadanganyika wanaenda kama mazuzu