HapokunabkunakaukweliHivi unadhani Makonda aliposema watu wanapukutika alikuwa anatania? Hali ni mbaya mno mno. Maiti zinazikwa usiku kwa usiri mkubwa. Kma una muda vizi makaburi kama ya Mbweni, Kunduchi muda wa jioni au usiku uone kinachoendelea. Wameshafariki wagonjwa wengi sana. Una mtu mgonjwa wa corona unayemjua alikuwa hospital ya Amana au anafanya kazi hapo? Hicho Makonda alichosema ndiyo hali halisi na ni katika kubwabwaja kwake akajikuta anatoa siri. Kuna siku wanawazika hata maiti 15!
Laiti ungejua majaribio yameshaanza na yanafanyikia huko huko tena kuna madaktari wengi tu wamejitolea.Wazungu walikuibia siri kuwa watafanyia majaribio chanjo ya Korona Afrika.. Wanacho jifunza kutoka Afrika, sio chanjo tu.. Kuna mambo mengi mazuri wanajifunza toka kwetu, but they wont admit!
Mungu wabariki Wazungu
[/QUO
wana huruma sanaMbona duwa zako ni wazungu tu wabarikiwe mkuu, Wewe huzitaki hizo baraka za Mungu?
Basi wacha nami nikiombee, Mungu mbariki Erythrocyte, achana na wazungu mkuu, mara watuone ni nusu mtu nusu Nyani!! Wanini?
Na Kenya yenye wagonjwa 300+,south Africa yenye wagonjwa 1000+ wenyewe wanafuata maagizo? Huyu beberu ni wa kupuuzwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hapa anaongelea "rate" na sio idadi, mwambie mtu akusaidie kutafsiri hiyo lugha, hapana shaka utaelewaNa Kenya yenye wagonjwa 300+,south Africa yenye wagonjwa 1000+ wenyewe wanafuata maagizo? Huyu beberu ni wa kupuuzwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka link ya hiyo studies psFor the 1st time, Europe, Asia and America are learning their lesson from a 'tiny' country is East Africa.
Europe has the confidence to reopen their economies from the case studies they have secretely taken from countries like Tanzania.
Kenya for example, has a confidence to open school abrubtly from a lock down using Tz as their case study on impossibilty of adverse effects of reopening.
Tanzania the 1st time, has shown a leadership to the World on how to live with a deadly snake in the room without a single snake bite!
Ndugu yangu hiyo chorus yenu sasa inachosha.Wametupost au kutuzungumzia sisi kwa kuwa baadhi yetu sisi watanzania tumepeleka huko WHO au 'tumeshitaki' huko kwamba serikali inapuuza masuala ya tahadhari kwa Corona...adui nambari moja wa Tanzania siyo mabeberu Bali ni sisi wenyewe watanzania....wewe fikiria watu wamefika mahali wanahoji kwanini Rais wetu Yuko Chato...yaani sijuo wanataka sijui aweoo wapi sijui Dodoma au Dar es salaam...it is as if Chato siyo sehemu ya Tanzania...Yaani ni kana kwamba akiwa Chato eti Rais hawezi kutekeleza majukumu yake ya urais....Yaani watanzania baadhi yetu tumejaa hududa, malalamiko, ubishi, wivu, utoto, ulimbukeni na ufedhuli...
Lies of unimaginable magnitude. Umeandika Ki-kijiwe sana.For the 1st time, Europe, Asia and America are learning their lesson from a 'tiny' country is East Africa.
Europe has the confidence to reopen their economies from the case studies they have secretely taken from countries like Tanzania.
Kenya for example, has a confidence to open school abrubtly from a lock down using Tz as their case study on impossibilty of adverse effects of reopening.
Tanzania the 1st time, has shown a leadership to the World on how to live with a deadly snake in the room without a single snake bite!
Tupe takwimu sahihi.Tanzania ina maambukizi zaidi ya 500 Ila kinachofanyika ni kuficha data ili watu kama nyie malofa msijue kinachoendelea
Acha kuwanga Mchana Kweupe.Tunaenda kuzipita hizo zote ulizizitata katika muda mfupi saana
Unajua maana ya undergraduate? Kwanini unasema unadegree wakati wewe ni undergraduate?Digrii mbili za undergraduate + Masterz.
Kimombo cha St Kayumba hakijifichi, kina mapengo mengi. Jaribu tena 'tuition'.For the 1st time, Europe, Asia and America are learning their lesson from a 'tiny' country is East Africa.
Europe has the confidence to reopen their economies from the case studies they have secretely taken from countries like Tanzania.
Kenya for example, has a confidence to open school abrubtly from a lock down using Tz as their case study on impossibilty of adverse effects of reopening.
Tanzania the 1st time, has shown a leadership to the World on how to live with a deadly snake in the room without a single snake bite!
wenzenu wanapima RAIA...nyie vepii?Na Kenya yenye wagonjwa 300+,south Africa yenye wagonjwa 1000+ wenyewe wanafuata maagizo? Huyu beberu ni wa kupuuzwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sahizi unajua hapa kwetu tunao wangapi? Leo, 8 waliokuwa wamelazwa Seketure, wamepelekwa Buswelu baada ya kuthibitika.Na Kenya yenye wagonjwa 300+,south Africa yenye wagonjwa 1000+ wenyewe wanafuata maagizo? Huyu beberu ni wa kupuuzwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika hatujazipita?Tunaenda kuzipita hizo zote ulizizitata katika muda mfupi saana