Nilipe nisepeKila siku nasema huku,wanywa soda mn wivu sana!
Alafu mna umbea umbea sana
Na mkasome 1tim,Kila siku nasema huku,wanywa soda mn wivu sana!
Alafu mna umbea umbea sana
Mkasome ,1 tim , 5,23Bibilia na Quruan zina contradictions nyingi mno, hata ukizingatia context.
Hii ni kwa sababu zilitungwa na watu tu waliokuwa wameshiba ugali.
Ni kweli hekalu la Mungu ni takatifu ambalo ndilo sisi au Mimi.Kor 3:17
"...mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi."
Jibu rahisi: kimwili pombe ni sumu na kiroho pombe ni dhambi.Pombe ni zambi au ni sumu? View attachment 3398173
Safi sana Bitoz JobisoUsiweke mistari nusunusu kuogopesha watu andika mstari mzima hiyo Habakuki 2:15 Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo, wewe utiaye sumu yako, na kumlevya pia, ili kuutazama uchi wao!
Ni muhimu kuelewa kuwa kitabu cha Yoshua bin Sira hakijajumuishwa katika orodha ya vitabu 66 vya Biblia inayotambuliwa na madhehebu mengi ya Kikristo. Kwa hiyo, mafundisho katika kitabu hicho hayazingatiwi kama sehemu ya Maandiko Matakatifu. Kwa lugha inayopendwa hapa JF, hicho kitabu ni hekaya za Abunuwas. Kichanechane ukitupe mbali na wewe, kinakupotosha!Yoshua bin sira 31:27
Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi.
Maisha yafaa nini bila pombe?
Imeumbwa iwafurahishe watu.
28Kunywa pombe wakati wake na kwa kiasi,
kwaleta shangwe moyoni na furaha rohoni.
29Lakini kunywa pombe kupita kiasi,
kunaleta kuumwa kichwa, uchungu na fedheha.
Ni sawa, dawa nyingi ni sumu kwa kiasi fulani, hasa kama zinatumiwa vibaya au kwa kipimo kikubwa zaidi ya kinachopaswa. Tofauti kuu ni kwamba dawa inatumiwa kwa lengo la kuponya au kuleta afya, wakati pombe inatumiwa kwa burudani. By the way, ukinywa dawa huwa zinapunguza ufahamu wako? Huwa zinakufanya unagombana na mkeo? Huwa zinakufanya unaona mauza uza? Kama ni hivyo, ukiumwa, kemea ugonjwa kwa Jina la Yesu, utapona bila dawa. Soma ushuhuda wangu hapa jinsi ambavyo mimi nimepona magonjwa mengi kwa Jina la Yesu tu.Hata dawa ni sumu,
It appears you entertain a notion tinged with irony regarding the fallibility of human longevity. While it is patently clear that mortality is the inevitable lot of all mankind, to presume that one cannot pursue a life of meaning, righteousness, or salvation is a profound misconception. The admonitions of the wise and the sacred texts alike exhort us to prepare not for an endless earthly existence but for an eternal destiny beyond temporal confines. Hence, the question is not whether one can live forever in a physical sense, but whether one can secure an everlasting life of spiritual import. As for the afflictions you mention, they serve as poignant reminders of our frailty and the urgent necessity for humility and redemption 😎And you think you can liv forever...walokole mna majanga sana 😂 😂 😂 😂 . Utakufa na kitu unachoona hakikuhusu, sijui utamwambia nani
Hakijajumuishwa kwa mujibu wa nani? Vitabu 66 vinatambuliwa na nani? Madhehebu mengi ndiyo yapi? Na vimetoka wapi hivyo 66? Hayazingatiwi kama sehemu ya maandiko na nani? Na hivyo vitabu 66 vinazingatiwa kwa mujibu wa nani? Huna elimu, huna knowledge, huna vipaws vya RM hauna uelewa walau wa theolojia alafu unashauri watu kuhusu chambuzi za vipengele vya Biblia?? Akili yako iko sawa?Ni muhimu kuelewa kuwa kitabu cha Yoshua bin Sira hakijajumuishwa katika orodha ya vitabu 66 vya Biblia inayotambuliwa na madhehebu mengi ya Kikristo. Kwa hiyo, mafundisho katika kitabu hicho hayazingatiwi kama sehemu ya Maandiko Matakatifu. Kwa lugha inayopendwa hapa JF, hicho kitabu ni hekaya. Kitupe mbali na wewe kinakupotosha!
Your statement presumes that the presence of surface-level tensions within biblical texts automatically constitutes irreconcilable contradiction, which is a philosophical overreach. Genuine contradiction implies mutually exclusive claims that cannot be harmonized under any coherent framework. Yet countless theologians, scholars of antiquity, and textual historians across millennia have found the Scriptures to be both theologically consistent and literarily profound, particularly when read with due respect to context, genre, historical setting, and original language.Bibilia na Quruan zina contradictions nyingi mno, hata ukizingatia context.
Hii ni kwa sababu zilitungwa na watu tu waliokuwa wameshiba ugali.
To reduce the gravity of death with the phrase "kifo ni kifo tu" reflects not a position of deep understanding but rather a posture of dismissal. Death is not a trivial occurrence. It is the most solemn and irreversible threshold the human soul will ever cross. While the reality of physical death is shared by all, the implications of what lies beyond are far from meaningless.Ndo ukufe na yesu wako, watakao kufa kwa sumu ya pombe na soda na wao watakuwa wamefanya uchaguzi wao. By the way kifo ni kifo tu who cares.
Huna akili. Kwa sisi tuliosoma tunakuona bwege tu. Unataka kulazimisha unachoamini. Ukitoa WHO, pombe kwa baadhi ya watu inaongeza risk ya mambo mengi. Ila sio kisababishi. Ni risk factor tu. Na sio sumubau poison. WHO pia walisema nyama nyekundu na processed kama sausage etc zinaongeza risk ya cancer sana tu kwahiyo tuache? Mahindi, karanga yana aflatoxin. Causative agent hatari sana wa baadhi ya kansa hatari kama ya ini? Tuache ugali? Acha ujuaji. pombe sio sumu. Koma kama ulivokoma nyonyo.Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic beverages) kama Group 1 carcinogen, sawa na tumbaku, asbestos, na virusi kama HPV.
Pombe inaharibu ini, ubongo, moyo, na hata mfumo wa kinga. Hakuna kiwango salama cha pombe kilichothibitika kuwa hakileti madhara.
WHO, 2023: “There is no safe amount of alcohol that does not affect health"
Sasa tukija kwenye Maandiko, katika kitabu cha 1 Wakorintho 6:19-20 tunaambiwa hivi: “...hamjui ya kuwa miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu… Kwa hiyo mtukuzeni Mungu katika miili yenu.”
Andiko hilo linatufundisha kwamba mwili wa Mkristo ni Hekalu la Mungu. Hekalu hili hatutakiwi kuliharibu. Ukiliwekea sumu unaliharibu. Unaliua. Mungu hapendi tuliharibu hekalu hili, yaani miili yetu. Angalia anavyosema katika kitabu cha 1 Kor 3:17
"...mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi."
Kama tulivyoona kauli hiyo ya WHO, kunywa pombe, hata kidogo tu, ni kuweka sumu mwilini(katika hekalu la Mungu). Na ethanol(ethyl alcohol) iliyomo katika pombe, tumeona kuwa ni sawa na sumu ya tumbaku na asbestos!
Kama unadai pombe unayokunywa haikuletei madhara yoyote katika mwili, bado unapingana na Mungu, kwa sababu ametukataza hata kuwa miongoni mwao wanywao.
"Usiwe miongoni mwao wanywao mvinyo" (Mithali 23:20-21)
Ili ujue kwamba Mungu anachukizwa na pombe, angalia hapa anavyotukataza hata kumpa jirani kileo. Yaani wewe hunywi lakini ukimpa jirani yako pombe tayari ni dhambi
"Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo."(Habakuki 2:15)
Tumekatazwa pia hata kuitamani pombe.
Methali 23:31
"Usiitamani divai hata kwa wekundu wake, hata kama inametameta katika bilauri, na kushuka taratibu unapoinywa."
Kwa ushahidi huo wa kisayansi na wa ki-Maandiko, bado tu unadhani kunywa pombe "kidogo" bila kulewa sio dhambi? NIPE UTETEZI WAKO.
================
Ndugu zangu, mambo yanayofanyika duniani sasa: vita, kuongezeka kwa maasi, upendo wa wengi kupoa, kuongezeka kwa maarifa... ni dalili za wazi kuwa Yesu amekaribia kuja kulinyakua Kanisa. Tutafute utakatifu kwa bidii(Ebr 12:14) vinginevyo Yesu akija tutaachwa katika dhiki kuu.
Itakuwa kilio na kusaga meno ukiachwa Yesu atakapokuja. Maisha yako yote umekuwa ukienda kanisani, lakini siku ya kuja kwa Yesu uachwe kwa sababu ya kunywa pombe tu?? Jamani, mbinguni kuna raha tele. Tutakula na kunywa vinono huko. Tuwe na subira!