WHO wathibitisha pombe ni sumu. Sasa nina ujasiri wa kusema: "kunywa pombe bila kulewa ni dhambi."

kawaambie breweries....wapo njia kuelekea njiro karibu na dampo Arusha.
Kwani wewe hii habari haikuhusu? Huoni umuhimu wa kuwaambia wengine habari njema kutoka WHO? Unasubiri kila mtu awe na tatizo la ini ndio ushtuke?
 
Huna akili. Kwa sisi tuliosoma tunakuona bwege tu. Unataka kulazimisha unachoamini. Ukitoa WHO, pombe kwa baadhi ya watu inaongeza risk ya mambo mengi. Ila sio kisababishi. Ni risk factor tu. Na sio sumubau poison. WHO pia walisema nyama nyekundu na processed kama sausage etc zinaongeza risk ya cancer sana tu kwahiyo tuache? Mahindi, karanga yana aflatoxin. Causative agent hatari sana wa baadhi ya kansa hatari kama ya ini? Tuache ugali? Acha ujuaji. pombe sio sumu. Koma kama ulivokoma nyonyo.
The inability to engage in civil discourse without resorting to invective and derision is a hallmark of intellectual insolvency. What you have presented is not a cogent argument grounded in empirical rigor, but rather an emotional tirade devoid of substantive reasoning. The World Health Organization’s classification of alcohol as a Group 1 carcinogen is not a tentative hypothesis but a scientifically verified conclusion, equating alcohol with the most dangerous known cancer-causing agents such as asbestos and tobacco.

To invoke the presence of potential contaminants in foodstuffs such as maize or peanuts as a defense for the consumption of alcohol is a textbook example of the false equivalence fallacy. Accidental exposure to aflatoxins due to food spoilage cannot be ethically or logically paralleled with the volitional ingestion of a neurotoxic and hepatotoxic substance whose psychoactive effects are the very reason it is consumed.

Philosophically speaking, your underlying premise appears to suggest that the ubiquity of risk in our world renders all risks morally and medically equal, thus negating the relevance of discernment in personal choices. This logic is perilously flawed. By that standard, one might as well argue that deliberately ingesting cyanide is justifiable, since “everything is poisonous in some way.” This is not intellectual sophistication, it is fatalism masquerading as freedom.

Furthermore, from a theological perspective, the deliberate defense of a substance which Scripture warns against repeatedly is not a sign of spiritual liberty but of a conscience dulled by habitual compromise. It is written:
“For everyone practicing evil hates the light and does not come to the light, lest his deeds should be exposed.” (John 3:20)

Your position lacks not only empirical coherence but also moral clarity. And unfortunately, the tone in which it is delivered only further undermines its credibility in the eyes of any sober, reasoning mind.
 
Vuta picha naisoma hii thread nikiwa bar
Utatapika
Madhra ya Pombe.jpg
 
Huna akili bana, unatumia A.I kudhani watu wataacha beer? Unakichaa kikubwa. Haohao WHO, wamebadilisha defintion ya watu wa upinde kutoka gender identity disorder na kuwa kitu normal una akili timamu wewe? Kwanza unafahamu juu ya guidelines? Alafu unafahamu alcoho haijawekwa kama ni causative agent? Acha ujuaji. You are an acting pseudo-smart.
 
Unaposema "hakuna kisicho na sumu kwa sasa" unahalalisha kunywa sumu yoyote ile. Kama ni hivyo, je uko tayari kunywa acid au sumu ya panya kwa kisingizio hicho? Kama sivyo, basi usihalalishe madhara ya pombe kwa hoja za jumla jumla.
"Mwenye busara huona mabaya, akajificha." (Methali 22:3)
Umeanza vizuri comment yako ila umemalizia kipumbavu.
 
Your statement presumes that the presence of surface-level tensions within biblical texts automatically constitutes irreconcilable contradiction, which is a philosophical overreach. Genuine contradiction implies mutually exclusive claims that cannot be harmonized under any coherent framework. Yet countless theologians, scholars of antiquity, and textual historians across millennia have found the Scriptures to be both theologically consistent and literarily profound, particularly when read with due respect to context, genre, historical setting, and original language.

To dismiss these writings as the idle musings of 'watu walioshiba ugali' betrays not only a superficial reading of the text but a reductive view of human history and divine revelation. The enduring influence of Scripture across civilizations, the moral architecture it has shaped, and the existential questions it dares to confront are not the work of men full of food, but men full of awe.

Perhaps the contradictions are not within the text, but within the reader's reluctance to wrestle with complexity beyond cynicism.
Mkuu una kingereza kizuri halafu una hoja. Kumbe tunaweza kujadili.

Nitarudi.
 
Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic beverages) kama Group 1 carcinogen, sawa na tumbaku, asbestos, na virusi kama HPV.

Pombe inaharibu ini, ubongo, moyo, na hata mfumo wa kinga. Hakuna kiwango salama cha pombe kilichothibitika kuwa hakileti madhara.
WHO, 2023: “There is no safe amount of alcohol that does not affect health"

Sasa tukija kwenye Maandiko, katika kitabu cha 1 Wakorintho 6:19-20 tunaambiwa hivi: “...hamjui ya kuwa miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu… Kwa hiyo mtukuzeni Mungu katika miili yenu.”

Andiko hilo linatufundisha kwamba mwili wa Mkristo ni Hekalu la Mungu. Hekalu hili hatutakiwi kuliharibu. Ukiliwekea sumu unaliharibu. Unaliua. Mungu hapendi tuliharibu hekalu hili, yaani miili yetu. Angalia anavyosema katika kitabu cha 1 Kor 3:17
"...mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi."

Kama tulivyoona kauli hiyo ya WHO, kunywa pombe, hata kidogo tu, ni kuweka sumu mwilini(katika hekalu la Mungu). Na ethanol(ethyl alcohol) iliyomo katika pombe, tumeona kuwa ni sawa na sumu ya tumbaku na asbestos!

Kama unadai pombe unayokunywa haikuletei madhara yoyote katika mwili, bado unapingana na Mungu, kwa sababu ametukataza hata kuwa miongoni mwao wanywao.
"Usiwe miongoni mwao wanywao mvinyo" (Mithali 23:20-21)

Ili ujue kwamba Mungu anachukizwa na pombe, angalia hapa anavyotukataza hata kumpa jirani kileo. Yaani wewe hunywi lakini ukimpa jirani yako pombe tayari ni dhambi
"Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo."(Habakuki 2:15)

Tumekatazwa pia hata kuitamani pombe.
Methali 23:31
"Usiitamani divai hata kwa wekundu wake, hata kama inametameta katika bilauri, na kushuka taratibu unapoinywa."

Kwa ushahidi huo wa kisayansi na wa ki-Maandiko, bado tu unadhani kunywa pombe "kidogo" bila kulewa sio dhambi? NIPE UTETEZI WAKO.
================
Ndugu zangu, mambo yanayofanyika duniani sasa: vita, kuongezeka kwa maasi, upendo wa wengi kupoa, kuongezeka kwa maarifa... ni dalili za wazi kuwa Yesu amekaribia kuja kulinyakua Kanisa. Tutafute utakatifu kwa bidii(Ebr 12:14) vinginevyo Yesu akija tutaachwa katika dhiki kuu.

Itakuwa kilio na kusaga meno ukiachwa Yesu atakapokuja. Maisha yako yote umekuwa ukienda kanisani, lakini siku ya kuja kwa Yesu uachwe kwa sababu ya kunywa pombe tu?? Jamani, mbinguni kuna raha tele. Tutakula na kunywa vinono huko. Tuwe na subira!
Mbona sisi hatuwasumbui na mautafiti juu ya majuisi yenu ?
 
Maswali yako ni ya msingi kabisa MwananchiOG, na hayapaswi kujibiwa kwa mzaha. Vitabu 66 vinavyopatikana kwenye Biblia ya Kiprotestanti vilipitishwa kwa uangalifu mkubwa na mitume na kanisa la awali, vikijulikana kama Canon, yaani maandiko yaliyoandikwa kwa uongozi wa Mungu, na kuthibitishwa kwa ushahidi wa mitume, manabii, na Roho Mtakatifu mwenyewe.

Hivyo vitabu 66 vilitumika mapema kabisa na Wakristo wa karne ya kwanza, hata kabla ya makanisa kugawanyika madhehebu. Kwa mfano, Yesu na mitume wake walinukuu mara kwa mara kutoka vitabu vya Agano la Kale ambavyo viko kwenye orodha hiyo, lakini hawakunukuu hata mara moja kutoka kwenye vitabu vya Deuterocanon kama Yoshua bin Sira.

Tafakari hii ya maandiko haitegemei tu madhehebu au elimu ya binadamu, bali historia ya ufunuo wa Mungu mwenyewe. Kama una ushahidi wa kihistoria unaoonyesha kuwa Yoshua bin Sira ni sehemu ya ufunuo wa Mungu unaolingana na Kristo na mitume, basi ulete hapa kwa hoja badala ya matusi au hasira.
Mhubiri 7:9
Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu (2 Wakorintho 13:1)
Waprotestant ni kina nani? Na kwanini waprotest? Na iweje wawe kanisa la awali wakati wameprotest dhidi ya wenzao wa awali? Na kwanini watengeneze Biblia yao? Unao ushahidi wa kihistoria kuhusu huyo mhubiri uliyemquote kama unavyotaka ushahidi wa Yoshua bin sira?

NB: Kwa taarifa yako zilikuwepo injili zaidi ya 10 na hata hizo injili unazozisoma leo maandiko yake original na uchambuzi wa kina umefanyika Roma kama jinsi walivyofunuliwa na Roho Mtakatifu, na kuna vitabu vingi kama kitabu cha Henoko, Kitabu cha Musa, Injili ya Barnaba nk. Vyote hivyo vimechambuliwa kwa umakini na kuongozwa na RM vikapatikana vitabu 72 vya Biblia.Wewe usiye na maarifa, Umekosa kujifunza mambo ya msingi na muhimu kama yaliyopo kwenye kitabu cha wamakabayo, umekosa fursa za hekima za Yoshua bin sira halafu unajiita Mkristu umenyooka?😀 Acha utani
 
Ni sawa, dawa nyingi ni sumu kwa kiasi fulani, hasa kama zinatumiwa vibaya au kwa kipimo kikubwa zaidi ya kinachopaswa. Tofauti kuu ni kwamba dawa inatumiwa kwa lengo la kuponya au kuleta afya, wakati pombe inatumiwa kwa burudani. By the way, ukinywa dawa huwa zinapunguza ufahamu wako? Huwa zinakufanya unagombana na mkeo? Huwa zinakufanya unaona mauza uza? Kama ni hivyo, ukiumwa, kemea ugonjwa kwa Jina la Yesu, utapona bila dawa. Soma ushuhuda wangu hapa jinsi ambavyo mimi nimepona magonjwa mengi kwa Jina la Yesu tu.
Kama sio mlokole ni msabato...tunewazoea....
 
Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic beverages) kama Group 1 carcinogen, sawa na tumbaku, asbestos, na virusi kama HPV.

Pombe inaharibu ini, ubongo, moyo, na hata mfumo wa kinga. Hakuna kiwango salama cha pombe kilichothibitika kuwa hakileti madhara.
WHO, 2023: “There is no safe amount of alcohol that does not affect health"

Sasa tukija kwenye Maandiko, katika kitabu cha 1 Wakorintho 6:19-20 tunaambiwa hivi: “...hamjui ya kuwa miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu… Kwa hiyo mtukuzeni Mungu katika miili yenu.”

Andiko hilo linatufundisha kwamba mwili wa Mkristo ni Hekalu la Mungu. Hekalu hili hatutakiwi kuliharibu. Ukiliwekea sumu unaliharibu. Unaliua. Mungu hapendi tuliharibu hekalu hili, yaani miili yetu. Angalia anavyosema katika kitabu cha 1 Kor 3:17
"...mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi."

Kama tulivyoona kauli hiyo ya WHO, kunywa pombe, hata kidogo tu, ni kuweka sumu mwilini(katika hekalu la Mungu). Na ethanol(ethyl alcohol) iliyomo katika pombe, tumeona kuwa ni sawa na sumu ya tumbaku na asbestos!

Kama unadai pombe unayokunywa haikuletei madhara yoyote katika mwili, bado unapingana na Mungu, kwa sababu ametukataza hata kuwa miongoni mwao wanywao.
"Usiwe miongoni mwao wanywao mvinyo" (Mithali 23:20-21)

Ili ujue kwamba Mungu anachukizwa na pombe, angalia hapa anavyotukataza hata kumpa jirani kileo. Yaani wewe hunywi lakini ukimpa jirani yako pombe tayari ni dhambi
"Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo."(Habakuki 2:15)

Tumekatazwa pia hata kuitamani pombe.
Methali 23:31
"Usiitamani divai hata kwa wekundu wake, hata kama inametameta katika bilauri, na kushuka taratibu unapoinywa."

Kwa ushahidi huo wa kisayansi na wa ki-Maandiko, bado tu unadhani kunywa pombe "kidogo" bila kulewa sio dhambi? NIPE UTETEZI WAKO.
================
Ndugu zangu, mambo yanayofanyika duniani sasa: vita, kuongezeka kwa maasi, upendo wa wengi kupoa, kuongezeka kwa maarifa... ni dalili za wazi kuwa Yesu amekaribia kuja kulinyakua Kanisa. Tutafute utakatifu kwa bidii(Ebr 12:14) vinginevyo Yesu akija tutaachwa katika dhiki kuu.

Itakuwa kilio na kusaga meno ukiachwa Yesu atakapokuja. Maisha yako yote umekuwa ukienda kanisani, lakini siku ya kuja kwa Yesu uachwe kwa sababu ya kunywa pombe tu?? Jamani, mbinguni kuna raha tele. Tutakula na kunywa vinono huko. Tuwe na subira!
Hili ni andiko bora sana ,asante Kiongozi.
 
Endelea kunywa na wewe utafikisha miaka 105
Hatukatai pombe ni mbaya.
Sio pombe tu. kuna sigara. utumiaji sa Sukar na wanga kupita kiasi nk nk.

Ila pia wapo wanaokunywa pombe na wamefikisha miaka 90. babu yangu amefariki akiwa na miaka 105.
Kila weekend lazima umkute bar bad alipofika miaka 80 ndio kaacha na alikuwa analetewa bia had kitandani.

Kila kitu ukitumia kistaarabu madhara yanapungua.

Narudia tena. kila kitu ukitumia kistaarabu madhara yanapungua au yanakuwa hayapo.
 
Sumu ni ya nyoka tu dakika 30 nyingi kuishi,kitu kinachokuua baada ya miaka 60 ya kukitumia hakiwezi kuwa sumu
 
Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic beverages) kama Group 1 carcinogen, sawa na tumbaku, asbestos, na virusi kama HPV.

Pombe inaharibu ini, ubongo, moyo, na hata mfumo wa kinga. Hakuna kiwango salama cha pombe kilichothibitika kuwa hakileti madhara.
WHO, 2023: “There is no safe amount of alcohol that does not affect health"

Sasa tukija kwenye Maandiko, katika kitabu cha 1 Wakorintho 6:19-20 tunaambiwa hivi: “...hamjui ya kuwa miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu… Kwa hiyo mtukuzeni Mungu katika miili yenu.”

Andiko hilo linatufundisha kwamba mwili wa Mkristo ni Hekalu la Mungu. Hekalu hili hatutakiwi kuliharibu. Ukiliwekea sumu unaliharibu. Unaliua. Mungu hapendi tuliharibu hekalu hili, yaani miili yetu. Angalia anavyosema katika kitabu cha 1 Kor 3:17
"...mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi."

Kama tulivyoona kauli hiyo ya WHO, kunywa pombe, hata kidogo tu, ni kuweka sumu mwilini(katika hekalu la Mungu). Na ethanol(ethyl alcohol) iliyomo katika pombe, tumeona kuwa ni sawa na sumu ya tumbaku na asbestos!

Kama unadai pombe unayokunywa haikuletei madhara yoyote katika mwili, bado unapingana na Mungu, kwa sababu ametukataza hata kuwa miongoni mwao wanywao.
"Usiwe miongoni mwao wanywao mvinyo" (Mithali 23:20-21)

Ili ujue kwamba Mungu anachukizwa na pombe, angalia hapa anavyotukataza hata kumpa jirani kileo. Yaani wewe hunywi lakini ukimpa jirani yako pombe tayari ni dhambi
"Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo."(Habakuki 2:15)

Tumekatazwa pia hata kuitamani pombe.
Methali 23:31
"Usiitamani divai hata kwa wekundu wake, hata kama inametameta katika bilauri, na kushuka taratibu unapoinywa."

Kwa ushahidi huo wa kisayansi na wa ki-Maandiko, bado tu unadhani kunywa pombe "kidogo" bila kulewa sio dhambi? NIPE UTETEZI WAKO.
================
Ndugu zangu, mambo yanayofanyika duniani sasa: vita, kuongezeka kwa maasi, upendo wa wengi kupoa, kuongezeka kwa maarifa... ni dalili za wazi kuwa Yesu amekaribia kuja kulinyakua Kanisa. Tutafute utakatifu kwa bidii(Ebr 12:14) vinginevyo Yesu akija tutaachwa katika dhiki kuu.

Itakuwa kilio na kusaga meno ukiachwa Yesu atakapokuja. Maisha yako yote umekuwa ukienda kanisani, lakini siku ya kuja kwa Yesu uachwe kwa sababu ya kunywa pombe tu?? Jamani, mbinguni kuna raha tele. Tutakula na kunywa vinono huko. Tuwe na subira!
Unywe pombe usinywe miaka yetu imehesabiwa kwenye biblia. Miaka ya kuishi kiumbe kilichozaliwa na mwanamke 70...ikizidi saana 79/80 usijihangaishe
 
Back
Top Bottom