Wilaya ya Ruangwa wamwambia Rais Samia hakuna changamoto yoyote ya kufanyia kazi

Wilaya ya Ruangwa wamwambia Rais Samia hakuna changamoto yoyote ya kufanyia kazi

Hapo ndipo tunakosea.
Ila wote hao watakuwa wana CCM wenzetu.
Kero zipo mfano mafuta ya petroli.
 
Mimi sishangai kusikia hivo maana kuna baadhi ya mikoa hapa tanzania bado inawatu wajinga wajinga sana
 
Safi sana... Huyu Mama inabidi kuksifu sifu tu...

Mara paahh...2025..
 
Waafrika hasa watanzania wana Upumbavu wa milele.

Uafrika hasa utanzania ni laana.

Wamama walikuwa wana jigaragaza kwenye mavumbi, kumsifu mama.
 
Naona Leo Rais kaamua kusema ukweli mchungu sana Kwa baadhi ya watu juu ya Uchapakazi wa PM Majaliwa. Tukivua vazi la unafiki na uzindaki sote tutakubaliana na maneno ya Rais Samia juu ya Uchapakazi wa PM Majaliwa.

Mungu amuweke muda mrefu zaidi na Nuru ing'ae Zaidi upande wake
 
Kampaka mafuta kwa mgongo wa kibuyu. Watu wa mwambao ni kukaa nao kwa makini
1695051479313.png

By the way SISIEM wengi wao waongo waongo wamafiki including kasim
 
Naona Leo Mhe.Rais kaamua kusema ukweli mchungu sana Kwa baadhi ya watu juu ya Uchapakazi wa PM Majaliwa. Tukivua vazi la unafiki na uzindaki sote tutakubaliana na maneno ya Rais Samia juu ya Uchapakazi wa PM Majaliwa.

Mungu amuweke muda mrefu zaidi na Nuru ing'ae Zaidi upande wake

Hilo liko wazi ni kiongozi mzuri, tatizo ni kukubali kusema uongo kwa manufaa ya watu wengine ndio kumeharibu image yake .
 
Naona Leo Mhe.Rais kaamua kusema ukweli mchungu sana Kwa baadhi ya watu juu ya Uchapakazi wa PM Majaliwa. Tukivua vazi la unafiki na uzindaki sote tutakubaliana na maneno ya Rais Samia juu ya Uchapakazi wa PM Majaliwa.

Mungu amuweke muda mrefu zaidi na Nuru ing'ae Zaidi upande wake
Nionyeshe kiongozi mmoja tu wa kitaifa wa CCM ambaye siyo muongo,mnafiki na mzandiki (kiushahidi) nami nitakuonyesha "bikra 1000" kwenye wodi ya wazazi.
 
Back
Top Bottom