Wilaya ya Ruangwa wamwambia Rais Samia hakuna changamoto yoyote ya kufanyia kazi

Hii sinema ngoja tu...
Tutaona mwisho wake.

Mungu hamfichi MNAFIKI
 
Naona Leo Mhe.Rais kaamua kusema ukweli mchungu sana Kwa baadhi ya watu juu ya Uchapakazi wa PM Majaliwa. Tukivua vazi la unafiki na uzindaki sote tutakubaliana na maneno ya Rais Samia juu ya Uchapakazi wa PM Majaliwa.

Mungu amuweke muda mrefu zaidi na Nuru ing'ae Zaidi upande wake
Uchapakazi huo kwiyo? Angemwekea deputy Kama kweli anamaanisha? Something like satire eeh?
 
"....ni mzima wa afya yupo anachapa kazi"
"..msiba wetu umefatiliwa na watu bilioni moja"
😑😑😄😄😄 ila Mungu alilipa taifa uzoefu fulani wa ajabu ambao sijui kama utakuja jirudia 😁😁😁
 
Wananchi hawataki ngonjera zake huyu Mama. Natamani nchi nzima iige huu mfano wa Ruangwa.
 
Ni sahihi kabisa maana changamoto zao kubwa ni kucheza ngoma na kufundisha watoto wa shule namna ya kukata viuno. Sasa kama hayo yote yanaendelea kila kona pande basi hamna changamoto zaidi.
Shule, maji, umeme, barabara kila mmoja anajua namna ya kufanya. Kuhusu soko la ufuta na korosho tayari linaeleweka waziri mwenye dhamana ametuahidi viwanda lukuki
 
Naona Leo Mhe.Rais kaamua kusema ukweli mchungu sana Kwa baadhi ya watu juu ya Uchapakazi wa PM Majaliwa. Tukivua vazi la unafiki na uzindaki sote tutakubaliana na maneno ya Rais Samia juu ya Uchapakazi wa PM Majaliwa.

Mungu amuweke muda mrefu zaidi na Nuru ing'ae Zaidi upande wake
Uongo
 
Alichokisema kingekuwa na emoji basi ingekuwa ni hii

1695059673385.png
 
Naona Leo Mhe.Rais kaamua kusema ukweli mchungu sana Kwa baadhi ya watu juu ya Uchapakazi wa PM Majaliwa. Tukivua vazi la unafiki na uzindaki sote tutakubaliana na maneno ya Rais Samia juu ya Uchapakazi wa PM Majaliwa.

Mungu amuweke muda mrefu zaidi na Nuru ing'ae Zaidi upande wake
vua wewe mwenye hayo mavazi,

mimi binafsi sihusiki na sijawahi kuvaa hayo mavazi na sintovaa kabsaa......coz ni mbaya!!!!!

kikubwa naungana na Rais
 
Adui yako akikusifia jitafakari sana.

"Keep your friends close and your enemies closer"
 
Kwanini amuwekee naibu waziri kama waziri mkuu ni mchapa kazi. Lisije likawa kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa

Back
Top Bottom