Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hili swala la DP world linaligawa taifa kwa namna ya ajabu.kwa hiyo tunaitaji utulivu how to handle it.naamini hata ndani ya chama tawala kutakuwa na mpasuko fulani.
BUSARA ZAIDI INAITAJIKA KWA MH rais ,ili muungano wa tanzania na CCM visivunjikie mikononi mwaka.yani huku mitaanihakuna anayemwelewa mpaka wanawake wanaongea maneno magumu.
Haiwezekani wasomi Ikiwemo maprof,mawKILI ,WANANCHI wamepigia kelele then wewe ukajifanya husikia na kuwaona watu wote hamnazo. think twice
Ukweli usemwe tu.
Nchi inapelekwa kama Gari bovu na walioko chini yake Wanamaker mafuta kwa mongoose ya chupa yaani wanakula na kusafisha.
Iweje watu waliokula pesa wanaandikiwa barua ya onyo!onto!! Hii inatoka wapi? Maajabu.
Miradi yote aliyoacha JPM inasuasua wanababua pesa tu japo wanamletea taarifa za uongo.
Ilikuwa hii miradi iwe imemalizika muda kwani kama ni pesa ilikuwepo! Hakuianza kwa kutegemea kukopa! Pesa za ndani zilikuwepo na zipo ila watafunaji wamerudi kwa kasi Ile mbaya.
Tumekopa na kupata misaada ila inapigwa! Shamba la bibi!
Gari lishabuma!!