Big show unaona mbali sana.
Rais Samia amejipambanua kuwa Rais Msikivu na asiependa kukumbatia kika kitu.
Juzi Mwendo kasi wa Mbalgala umezinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar,lakini wakati wa magufuki tulizoea hadi Mweni kuzinduliwa na Rais,Sasa Slaa akiona Rais anawaacha wateule wake waonekane vipaji vyao anaumia.
Slaa hana Moral Authority ya kusikilizwa,kulikuwa nw katiba iloyoisgia Bunge la Katiba,Alipoingia Magufuli akatamka hana mpango na katiba,Slaa alikuwepo na alikuwa akipayuka kutetea udikteta wa Magufuli.
Leo baada ya kustaafu ubalozi akiwa na kiaka 85 bado analazimisha uteuzi kwa Rais Samia.
Hoja ya DP world isiwe kichaka cha kudharau mamlaka ya Rais,anaweza kuwekwa lock up hadi akafia huko.
Lakini Mama yetu asifanyr hivyo,maana ndicho Slaa anatafuta kwa sasa,anafanya akila jinsi kutafuta Attention .
Slaa alianza Chokochoko tangu Kifo cha Magufuli,nakumbuka akiwa sta TV akawa anatuhumu kuwa Magufuli kauwawa,bahati akakosa suport akabaki peke yake maana wananchi wameshamdharau,sasa kapata chimbo la kubwabwaja.
Rais wetu aachwe achape kazi,sasa hivi wananchi tunafuatilia kwa makini namna serikali itakavyohitimisha swala la DP world.
Na sina Shaka watalimaliza kwa maslahi ya Tanzania.