Wilbroad Slaa kusema Rais Samia amejificha kana kwamba nchi haina kiongozi, ungethubutu kusema hivyo kwa Hayati Magufuli?

Wilbroad Slaa kusema Rais Samia amejificha kana kwamba nchi haina kiongozi, ungethubutu kusema hivyo kwa Hayati Magufuli?

Jomba hapa mwisho sijaelewa Dr Slaa kaendekeza tumbo na njaa yake kivipi, maana nimeshasahau yaliyojiri
 
Jomba hapa mwisho sijaelewa Dr Slaa kaendekeza tumbo na njaa yake kivipi, maana nimeshasahau yaliyojiri

Wilbroad Slaa anaendekeza Njaa Kwa kuwa just two years ago akiwa balozi alifunga domo lake na kuwa upande wa serikali,Leo baada ya ubalozi kukoma na serikali kuachana nae amegeuka Tena kuwa mpinzan na critic of the government.

That's why tunasema anaendekeza Njaa
 
Wewe Acha mbwembwe. Wakati wa COVID JPM akiwa kijijini alisemwa tena zaidi ya hiyo unayoshobokea
 
wabongo bwana hawaeleweki.......kipindi cha awamu ya nne walimwita dhaifu.....awamu ya tano wakamwita dikteta.......awamu ya sita hayupo......!!!
kinacho takiwa kwa awamu ya sita ni kuziba masikio na kusonga mbele kwa masilahi ya nchi kamwe wasibabaishwe na kelele wakapoteza mwelekeo.
 
Ok,
1. Kwani rais katoa kauli?
2. Lini umekuwa askofu wa RC mpaka uuseme upadre wake?
3. Rais Samia aliposema .. nanukuu.. KULIKUWA NA SIMBA WA YUDA.. mwisho wa kunukuu. Ulielewa alimaanisha nini?
4 Jee Dr.Slaa mbona hakuja hadhari kujibu kashfa ya kununuliwa na Magufuli kama nguruwe WA mnadani akawacha kuwapigania wananchi?
 
Hoja ni Raisi hatuna au shida ni personal attack kwa Dr. SLAA..


Raisi anayeongoza kimakosa anapingana na kauli ya Apostle Mohammad kuwa Mwanamke akiongoza nchi itaangamia na ishara zishaanza onesha...
 
Huujui mwandiko wa Zito wewe
Hujui kitu wewe! Unadhani watu wote wana akili ndogo kama wewe kiasi ambacho atabadilisha tu ID halafu aandike kwa ile ile style yake? Unajua hata maana ya criminal profiling na namna criminals wanavyoiepuka? Endelea kulala!
 
Dokta Slaa ni mkweli na alichokisema ndio uhalisia kamili.
Kila mtanzania anajua kwamba Samia anaongozwa na Kikwete pamoja na hilo genge la mafisadi.
Wewe mleta hoja ndie mpumbavu wa kitanzania kundi la kina Maulid Kitenge mnaoendeshwa na matumbo badala ya ubongo.
Shame on you!
Yaani we unaona Slaa ni Mkweli!
 
4 Jee Dr.Slaa mbona hakuja hadhari kujibu kashfa ya kununuliwa na Magufuli kama nguruwe WA mnadani akawacha kuwapigania wananchi?
Huna hoja. ANyway, leta ushahidi kuwa alinunuliwa kama nguruwe..!!
 
Kuna usemi"The guilty are afraid"🤔
 
wewe jamaa Mara nyingi sikuelewi. Kipindi cha JK ulikuwa pro JK sana. Alivoingia Jiwe ukapotea. Kaingia SSH naona na wewe umeibuka….anyway…I didn’t say nothing.
Huyo ni mtu wa islamic states😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom