THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
- #61
Kajificha ndiyo. Katoa kauli gani zaidi ya kuziba masikio. Serikali haiendeshwi kwa kuziba masikio.
Wasemaji wa serikali wapo na updates zinatolewa.
Siyo Kila Kitu Rais aje azungumze.