Wilbroad Slaa kusema Rais Samia amejificha kana kwamba nchi haina kiongozi, ungethubutu kusema hivyo kwa Hayati Magufuli?

Wilbroad Slaa kusema Rais Samia amejificha kana kwamba nchi haina kiongozi, ungethubutu kusema hivyo kwa Hayati Magufuli?

Ok,
1. Kwani rais katoa kauli?
2. Lini umekuwa askofu wa RC mpaka uuseme upadre wake?
3. Rais Samia aliposema .. nanukuu.. KULIKUWA NA SIMBA WA YUDA.. mwisho wa kunukuu. Ulielewa alimaanisha nini?
Huwa nashangazwa sana na watu wanaopingwa hoja kwa kugeuza hoja iliyo mezani na kuingiza personality.

Big Show badala ya kutoa utetezi kwa DPW/URT kuhusu huo mkataba wa bandari, yeye anamnanga Dr. Slaa.

Vv
 
R

Rais atoe kauli mara mbili? Yeye ameshasign na bunge limejadili. Hivyo ameshatimiza wajibu wake. Unataka ale matapishi yake mwenyewe?
Ok, unauliza kuhusu rais kutoa kauli mara mbili, HAYA TUAMBIE KAULI YA KWANZA ALIITOA WAPI NA ALISEMA NINI?
 
Big Show amedhalilisha ma-GT humu ndani, yaani imeniwia vigumu kumtofautisha na kina Steve Nyerere, Kitenge, Zembwela na yule shehe.

Vv
Kuna watu wameamua kuchagua upande wa Mama kwakuwa tu ni mwenzao katika Imani, bila kufikiria hasara ambazo Nchi kama Nchi tutaingia.

I can't mention their names here but wanajulikana akiwemo mtoa mada
 
Mijamaa imekomaa kweli, kunyaland anawatumia sana ila ni bure tu
Mwarabu ataingia watake wasitake
 
Big show unaona mbali sana.
Rais Samia amejipambanua kuwa Rais Msikivu na asiependa kukumbatia kika kitu.
Juzi Mwendo kasi wa Mbalgala umezinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar,lakini wakati wa magufuki tulizoea hadi Mweni kuzinduliwa na Rais,Sasa Slaa akiona Rais anawaacha wateule wake waonekane vipaji vyao anaumia.

Slaa hana Moral Authority ya kusikilizwa,kulikuwa nw katiba iloyoisgia Bunge la Katiba,Alipoingia Magufuli akatamka hana mpango na katiba,Slaa alikuwepo na alikuwa akipayuka kutetea udikteta wa Magufuli.

Leo baada ya kustaafu ubalozi akiwa na kiaka 85 bado analazimisha uteuzi kwa Rais Samia.

Hoja ya DP world isiwe kichaka cha kudharau mamlaka ya Rais,anaweza kuwekwa lock up hadi akafia huko.

Lakini Mama yetu asifanyr hivyo,maana ndicho Slaa anatafuta kwa sasa,anafanya akila jinsi kutafuta Attention .

Slaa alianza Chokochoko tangu Kifo cha Magufuli,nakumbuka akiwa sta TV akawa anatuhumu kuwa Magufuli kauwawa,bahati akakosa suport akabaki peke yake maana wananchi wameshamdharau,sasa kapata chimbo la kubwabwaja.

Rais wetu aachwe achape kazi,sasa hivi wananchi tunafuatilia kwa makini namna serikali itakavyohitimisha swala la DP world.
Na sina Shaka watalimaliza kwa maslahi ya Tanzania.
 
Slaa alitakiwa kujibiwa na Afisa habari wa TPA ,hata Msigwa kumjibu Slaa ni kutomtemdea haki Msigwa.
Slaa hana hoja yoyote zaidi ya kutafuta attention tu
 
Big show unaona mbali sana.
Rais Samia amejipambanua kuwa Rais Msikivu na asiependa kukumbatia kika kitu.
Juzi Mwendo kasi wa Mbalgala umezinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar,lakini wakati wa magufuki tulizoea hadi Mweni kuzinduliwa na Rais,Sasa Slaa akiona Rais anawaacha wateule wake waonekane vipaji vyao anaumia.

Slaa hana Moral Authority ya kusikilizwa,kulikuwa nw katiba iloyoisgia Bunge la Katiba,Alipoingia Magufuli akatamka hana mpango na katiba,Slaa alikuwepo na alikuwa akipayuka kutetea udikteta wa Magufuli.

Leo baada ya kustaafu ubalozi akiwa na kiaka 85 bado analazimisha uteuzi kwa Rais Samia.

Hoja ya DP world isiwe kichaka cha kudharau mamlaka ya Rais,anaweza kuwekwa lock up hadi akafia huko.

Lakini Mama yetu asifanyr hivyo,maana ndicho Slaa anatafuta kwa sasa,anafanya akila jinsi kutafuta Attention .

Slaa alianza Chokochoko tangu Kifo cha Magufuli,nakumbuka akiwa sta TV akawa anatuhumu kuwa Magufuli kauwawa,bahati akakosa suport akabaki peke yake maana wananchi wameshamdharau,sasa kapata chimbo la kubwabwaja.

Rais wetu aachwe achape kazi,sasa hivi wananchi tunafuatilia kwa makini namna serikali itakavyohitimisha swala la DP world.
Na sina Shaka watalimaliza kwa maslahi ya Tanzania.

Shukran Mkuu,
Umeongea facts sana, kiukwel Rais Samia ni msikuvu na mwenye uvumilivu wa Hali ya juu sana,
Na hajakataa watu kukosoa na kushauri pale inapobid,ila watu wenye fikra kama za Slaa wanatumia nafas hiyo vibaya sana Tena Kwa mashahi ya tumbo lao tuh.

Rais Samia hataki kukumbatia Kila Kitu afanye yeye,amefanya kazi kubwa kurudisha Taasisi ya URais heshima yake.
 
Magufuli asingejificha. Infact angetuambia wananchi kama ilivyokua bandari ya bagamoyo

..hapana.

..bandari ingekuwa inauzwa wakati wa Jpm yeyote ambaye angepinga angetwangwa RISASI.

..watu waliogopa kufunguliwa makesi, kutekwa, kuteswa, au kuuwawa, wakati wa Jpm.
 
Achana na historia yake, jibu hoja zake

Hoja zipi alizonazo Zaid ya Njaa??

Hakuna popote Iliposemwa kuwa bandari imeuzwa,

Rais Hajajicha,na Rais anatembea Kwa ratiba maalum zenye weledi mkubwa,siyo kama yeye Wilbroad Slaa,

Ashike adabu zake, hawez kumwambia Mh Rais kuwa eti haonekan na nchi inakuwa kama Haina Kiongoz, kuongoza familia Slaa imemshinda sembuse madaraka ya URais?
 
..hapana.

..bandari ingekuwa inauzwa wakati wa Jpm yeyote ambaye angepinga angetwangwa RISASI.

..watu waliogopa kufunguliwa makesi, kutekwa, kuteswa, au kuuwawa, wakati wa Jpm.

Mkuu Joka Kuu.

Heshima Yako Mkuu,

Long time sana.
 
Huyu jamaa baada ya CCM kumpa ubalozi nikajua hatathubutu kuwa yule wa zamani .

Hana aibu Wilbroad Slaa linapokuja suala la pesa.

Wenzake chadema wakiwa wanaozea jela na wengine wakipigwa Risasi viunga vya bunge yeye Slaa anakula zake mvinyo tuh Canada.

Hakuna mtu hapo mchumia Tumbo Slaa na mpenda dezo dezooo...
 
..Heshima yako na wewe.

..tuko ndugu yangu tunachangamsha barza.

Nimefurahi kuzungumza nawewe kwenye platform Mkuu,

Tusameheane tunapokwazana Sometimes lugha zetu zinakuwa na ukakasi sana ila sote ni Watanzania Mkuu.
 
Back
Top Bottom