hili swala la DP world linaligawa taifa kwa namna ya ajabu.kwa hiyo tunaitaji utulivu how to handle it.naamini hata ndani ya chama tawala kutakuwa na mpasuko fulani.
BUSARA ZAIDI INAITAJIKA KWA MH rais ,ili muungano wa tanzania na CCM visivunjikie mikononi mwaka.yani huku mitaanihakuna anayemwelewa mpaka wanawake wanaongea maneno magumu.
Haiwezekani wasomi Ikiwemo maprof,mawKILI ,WANANCHI wamepigia kelele then wewe ukajifanya husikia na kuwaona watu wote hamnazo. think twice