Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kuna siku alikua na kikao cha kuhusu wizara yake, sasa kaongea kamaliza, afu mwingne akafuata kuongea, sijui alimuudhi nn, lukuvi akabenua mdomo afu mkono wake akauwekaje na kumalizia sonyoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilicheka ile siku, nkajisemea mwenywe, ingekua kijana wa mtaan angeambiwa sio ridhiki. Uwiiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan tangu hapo nikiona hata picha yake nacheka km mwehu, nikikumbuka hilo tukio ndo kabisaa mbavu cna.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa na kiburi sana huyo
Huyo CAG na hao majaji pamoja na kuwa na hiyo kinga ila bado wana nidhamu za uoga.Nchii Rais anaweza kuteua na kumtengua yoyote wakati wowote na bila sababu kasoro CAG au Majaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan tangu hapo nikiona hata picha yake nacheka km mwehu, nikikumbuka hilo tukio ndo kabisaa mbavu cna.
hapo pagumu snAjiajiri sasa, wao si ndiyo mabingwa wa kuwaambia vijana wajiajiri
Utaipata tyuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja niitafute hiyo clip maana alikuwa anapenda sana misifa kila akienda lazima camera nyuma
Yaani anaongea utadhani ni mtu aliyefukuzwa kazi ilihali ni mbunge na analipwa mapesa mengi tu. Labda aliona yeye anahaki zaidi ya kuwa waziri kuliko aliyeko sasa. Ila ushauri mzee atulie aendelee na ubunge maana bado ni nafasi nzr na inalipa ukizingatia ametumikia ubunge na uwaziri kwa miaka mingiHuyu si mbunge? Kwani alikuwa entitled kuwa waziri maisha yake yote?
Yeye ni nani kwani toka niko primary Lukuvi ni waziri na wamemchukulia mama kama mwanamke wakaanza figisu ndugai mwenzake ata simu hapokei, baada kuuliza kwa sms wewe ni nani akajibiwa ni mtu wa gazeti fulani hakupokea tena simu..
Anaweza akawa kwake masakiMatapeli tu hao wamekula na bado hawashibi
Wamejiwekea ardhi kibao wacha wasome sheria na katiba sasa walizozikanyaga
Magu alipokuwa anamtaja hadharani alivyokuwa anabinua mdomo sasa [emoji23][emoji23]
Anaweza akawa kwake masaki
Au kwengineko
Alafu viongz bongo bana utasikia nko kijijini kwetu nalima hahaha
Ili wawaokote watu kama mleta uzi huu
Ova
Siasa ni ulevi hapo ni zaidi ya issue ya pesa.Yaani anaongea utadhani ni mtu aliyefukuzwa kazi ilihali ni mbunge na analipwa mapesa mengi tu. Labda aliona yeye anahaki zaidi ya kuwa waziri kuliko aliyeko sasa. Ila ushauri mzee atulie aendelee na ubunge maana bado ni nafasi nzr na inalipa ukizingatia ametumikia ubunge na uwaziri kwa miaka mingi
Huyu si nasikia walimvizia muda wake wa kipindi cha miaka 5 kilipoisha? CAG na majaji kuna mchakato kuwatoaCAG! Muulize Assad
Hao wabunge siyo kwamba waliingia deal na wao wakaamua kujiuzulu? CAG Assad nasiki kuna kakipengele kwenye sheria ambako kalitumikaKama Rais kaweza kutengua u CAG wa Assad, ubunge wa Baloz Possi, Polepole na Uspika wa Kongwa atashindwa nini tena?
Rais wa Nchi zinazoendelea ( Kasoro Tanzania) anaweza hata kuamuru kutengua Uhai wa mtu na maisha yakaendelea kama kawaida