Nani kauawa Kenya kwasababu ya ukabila. Gen Z wamevunja ukuta wa ukabila. Wewe Baki na mawazo yako ya 1970.Tanzania hakuna wanaouwana kwa ukabila.
Kuwa na fikra chanya kuhusu Tanzania, usiwe na fikra potofu kwa uvivu wako tu.
Onyesha mfano tukufuate nyuma, ukiongelea nyuma ya keyboard, na sisi tutabaki nyuma ya keyboard kama unavyofanya wwe!!Siyo hapa kwetu vijana kwa wazee wanashindana uchawa kutwa kucha kuwasifia watawala tu wanaojimegea keki ya taifa kama hawana akili nzuri vile. Wapi Lucas Mwashambwa !!!
NAam jamii isikilizweVijana wametisha sana pande hizo
Ukisikia elected by the people for the people ndio hii sasa
Wote sawaBora bangi kuliko kuwa na wakuu wa mikoa wafiraji.
tushuke halafu iweje?Waendelee kubomoa uchumi wao washuke.
Kwa hiyo hata wewe una laana😎...Waafrika hasa watanzania wako na laana.
Heri ya Ruto "anayekumbuka shuka", kuliko huyu wa kwetu asiyejuwa kabisa kuwa kuna shuka; anaziba masikio awe "Chura Kiziwi".Ruto hajiulizi Sisi alifanyiwa nini na vijana?
Hajiulizi Burkina Faso vijana wamefanya nini?
Hajiulizi jirani zake Sudan,vijana wamefanya nini?
Nadhani anakumbika shuka kumekucha.
Unafananisha usiku na mchana?Heri ya Ruto "anayekumbuka shuka", kuliko huyu wa kwetu asiyejuwa kabisa kuwa kuna shuka; anaziba masikio awe "Chura Kiziwi".
Sijui kama hapa anajifunza lolote!
Punguza dhihaka kwenye mambo ya Imani. Shauri zako.
Ukiwa "Chawa" na kujivunia hali hiyo unapoteza uwezo wa kutumia akili vizuri.Unafananisha usiku na mchana?
Shukuru Mungu wako kwa kutuwekea Mama Samia kuwa Kiongozi wetu mkuu Tanzania.
Hakika kazi ya Mungu haina makosa.
"Hali hiyo" ipi?Ukiwa "Chawa" na kujivunia hali hiyo unapoteza uwezo wa kutumia akili vizuri.