Wimbo mpya wa Nay wa Mitego kuhusu bandari views 71,000 ndani ya saa 7

Wimbo mpya wa Nay wa Mitego unaoitwa amkeni unaozungumzia sakata la Bandari, Ripoti ya CAG na ugumu wa maisha umefikisha watazamaji 71,000 na comments zaidi ya 2,000 ndani ya masaa 7 tu tangu uachiwe hewani

Wanaoimba matusi ya nguoni hawasemwi wanaelimishwa jamii ndio wanaosumbuliwa. Kweli nchi inaongozwa na wajinga
 
Wimbo mpya wa Nay wa Mitego unaoitwa amkeni unaozungumzia sakata la Bandari, Ripoti ya CAG na ugumu wa maisha umefikisha watazamaji 71,000 na comments zaidi ya 2,000 ndani ya masaa 7 tu tangu uachiwe hewani

Ameongea ukweli mtupi humor hasa verse ya pili
 
Wimbo mpya wa Nay wa Mitego unaoitwa amkeni unaozungumzia sakata la Bandari, Ripoti ya CAG na ugumu wa maisha umefikisha watazamaji 71,000 na comments zaidi ya 2,000 ndani ya masaa 7 tu tangu uachiwe hewani

sina maoni naona aibu
 
Ney; Why ulilimchukua mapema Magu? Ulimchukua Ili Tujifunze au tuheme?

Ney: KAZI ya Mungu Haina makosa, ikikupendeza Chukua na Hawa!!

Ila aache ujinga Mwamposasa Hana miujiza, ni maigizo.

Spana ziendelee tafadhali.🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom