Within 3 month kilimo kimenipa milioni 40, vijana kilimo kinalipa

Khaaa yaani apo si ajabu ume maliza kudeki sebuleni kwa shemej yako na bukta lako la Chelsea uku una kuna kuna tu hizo Poumbu ukaona uje uwananage vijana kwa ndoto zako za alinacha
 
Hongera sana mkuu!

Ni kweli kufanya kazi kwa bidii ni lazima Kwa Kila mja!

Lakini mafanikio ya KAZI ni majaaaliwa ya Mwenyezi ,pale juhudi na baraka zinapokutana ndipo mafanikio yalipo!

Big up!
 
Mkuu nenda pole pole wakati wewe unapiga mayowe ya 40M kuna mtu ameathirika na mvua...Mungu akikubariki na ukafanikiwa mrudishie sifa na heshima yeye aliyekuwezesha.

Pia acha madharau na kuwaita wenzako jobless...utafanikiwa zaidi ya hapo.
 
 
Hakuna binadamu anayetoa code za mafanikio online,huo ni uongo ,hapo unatangaza soko tu la mbegu na kukodisha mashamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…