Within 3 month kilimo kimenipa milioni 40, vijana kilimo kinalipa

Najua watu watakubeza ila ukikipatia kilimo kina lips hasa zao la ufuta. Ingawa kwa uzoefu wangu mwaka huu wale waliofata kalenda ya kupanda ufuta mid January, haukuzaa vizuri as umerefuka sana na hatimaye umezalia juu matawi ya chini hayakubeba. Last year Kuna mtu namfahamu alilima mvomero heka 40 ufuta ulimzalia na alipata 50mil. Mwaka huu mvua zimemuathiri so it is possible kupata that amount of money kwa ufuta hata mbaazi na uzuri wa mazao haya Hela yake faster unavuna na kuuza sio kama mpunga na mahindi Hadi uyatunze kusubiria peak season December
 
Hivi mnada wa kwanza wa ufuta umeshafanyika lindi? Je bei imesoma ngapi? Mlima ufuta
Bei ni elfu 4 @kg.

Watu wanaibiana sana mashambani. Na ukibuna hukaweka ndani ukikaa vibaya, wanavunja wanaiba.

Hali ni mbaya sana baadhi ya vijiji vya Lindi.
 
Reactions: PYD
Hatujakataa lakini tulitaka atoe maelezo vizuei,,aliima ekari ngapi,,wapi lini na laifanyanya vipo hadinkufanikiwa ili watu wajifunze pia.
 
Lipia tangazo
 
Unaonaje kwanza ukianza kuwasaidia masoko wale ambao tayari wameshalima na wanasikitika bei sio rafiki....

Kila kitu kina siri zake na sio kila kitu ni cha kila mtu..., na ofcourse kilimo kinalipa ndio kinachotufanya tuishi ama sivyo tungekufa..., ila usishange na ulipaji huo ukalime mazao yakaozea shambani na usirudishe hata gharama za mbegu let alone nguvu zako...
 
Itategemean na ukanda kuna ukanda wa nanjilinji huko seloo na upande wa ruvuma huku jiran na msumbiji huko seloo sijui bei zake ila huku jiran na msumbij itategemeana na utavyoelewan na mtendaji unaweza kupata kwa laki moja na kuendelea au kushuka chin ila utapewa msitu ulime mwenyew ukitaka shamba lililo tayr utaelewan na mwenye shamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…