Within 3 month kilimo kimenipa milioni 40, vijana kilimo kinalipa

😂 Bora wewe ulipata mwaka 2022 nililima heka 60 kilichonikuta sina hamu na hilo zao maana pesa niliyoipata hata milioni haikufika
 
Nyie vijana acheni kutembea na bahasha za kilimo huo ni uzoba aisee njoeni maporini huku niwafundishe kilimo hivi hamjisikii aibu? Mnavyonuka jasho kutwa kutembea kusambaza CV? Huo umburula huo aisee
Tuko pamoja KILIMO NI FURSA ila ngoja soko liko vizuri kwa zao ulilo lima ?
 
Kaka kafanye kazi ya kupromote matangazo... Kilimo hakikufai tuachie sisi wakulima
 
Haujaandika kama mkulima asee, mwandiko wako haujaenda shamba

Mwalimu nimekupa 0%
 
Ulilimia wapi? Kuhusu kilimo ukiwasikiliza watu wa humu hautakaa ulime kabisa,hebu nikupe mbinu ambayo mimi naitumia ni kwamba silimi shamba zaidi ya heka 20 sehemu moja
Mkuu naomba mawasiliano yako na mm natka nilime mkuu
 
Bahati jf awaluhusu matusi , Hilo tu pia ukitoa mazao ya bustani baadhi akuna zao la kuvuna miezi mitatu neti akuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…