Wito wa Religious Tolerance: Usikosoe jambo lolote ambalo si imani yako!

 
Kama ilivyokuwa Iraq enzi za mbabe Saddam Hussein,waziri mkuu wake wa muda mrefu alikuwa anaitwa Tariq Aziz alikuwa mkatoliki saaafi kabisa,sawa sawa na pale Kahama Shinyanga utakutana na waburushi kibao tu wakatoliki na watu hawataki kujua Hilo pia.
 
Uko sahihi kabisa kama sisi wakristu hatuingilii mambo ya waislamu na Quran Yao na hatumjui Wala kumuamini mtume muhammad tunachojua sisi wakristu ni kuwa mtume muhammad alileta dini iliyofungamana na majini vitukuu wa mashetani.Lakini pamoja na hayo yote hatuwasumbui waislamu tumewaaacha na imani Yao.Huko ndio kuishi kwa kuheshimu hata Imani za wengine ili mradi Kila Mmoja apate uhuru wa kuamini na kuabudu anakopataka yeye
 
Marekani imeconfirm kuwa inakishikilia chombo kutoka angani na maiti za marubani waliokufa baada ya ajali ya chombo hicho

Swali langu je dini zetu zinasemaje kuhusu hao viumbe? je vitabu vyetu vitakatifu vimewataja hao viumbe? au ndio Majini na Mapepo kutoka anga za mbali?

Haya ndio maswali tunatakiwa tujiulize na sio kutukanana.
 
Paskali bwana eti unawasemea Bakwata nao wangetoa waraka wa kuunga mkono dp wedi.

Hiyo mamlaka unaipata kwa nani kuamini Bakwata ni lazima wangekuwa kinyume na TEC?
 
Ndugu Mayalla, Kwanza kabisa nakusihi usiangaike na watu wa aina ya Faiza ambao wanaingilia Imani za watu wengine. Ni washari wasiyoweza kuzuia jazba zao pale wanapikutana na hoja kinzani.

Lakini pili husipende kufikiri kwa niaba ya wengine ukidhani na wao wanafikiri kama unavyofikiri wewe. Unawapongeza BAKWATA kwa kutotoa waraka kupinga ule wa TEC!! Je, BAKWATA walikwambia kuwa wanapingana na waraka wa TEC.? Hizi ni hisia zako. Mpaka hapo watakaposema wenyewe hakuna anaejua msimamo wa BAKWATA kwenye huu mpango wa ubinafsishaji wa bandari ambao wengine mnauita uwekezaji.

Baadhi ya wafuasi na waumini wa kanisa katoliki kama ilivyo kwa wale wa Kiislamu hawakubaliani na waraka wa TEC. Ni Uhuru wao kama Wantanzani. Hivyo husichukulie mitizamo ya wafuasi wa dini fulani ukadhani ndiyo msimamo wa taasisi inayoongoza hao waumini. BAKWATA umeikosea sana kuilisha maneno yako mdomoni mwao ukidhani ndio mtizamo wao ktk hili sakata la bandari.

Ni bahati nzuri leo Serikali imeondoa mabadiliko ya Sheria kuhusu rasilimali za Taifa Bungeni. Hii ni hatua nzuri baada ya wazalendo wenye uchungu na raslimali zao kupaza sauti. Najua wanafiki wenye njaa ya furusa watapiga u-turn na maneno kuipongeza serikali hili hali mwanzo walikuwa ni wachombezaji hadi mishipa ya shingo inawasimama. Lakini binadamu ndivyo tulivyo, hasa wale wenye kutanguliza matumbo yao kwanza bila kujali maslahi ya walio wengi na kizazi kijacho.

Ni rahi yangu kwako ndugu Mayalla, ikiwezekana, vitu vingine hasa vya kufikiria tu, usipende kuwa wa kwanza kuviandika.
 
Naomba kulipongeza Baraza la Waislamu Tanzania Bakwata kwa Political Tolerance, maana baada ya TEC kutoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu, ilitarajiwa Bakwata nao wangetoa waraka kuunga mkono mkataba wa DPW na Bandari zetu
This is very low. Kwa hiyo Wakristu wakitoa waraka kulaani utoaji mimba au wizi, itatarajiwa vile vile waisilamu watoe waraka kuunga mkono utoaji mimba na wizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…